Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,577
Ukimchukia ni either hujampata mwenye qualities au standards za aliekuacha, amekuacha ghafla hukutemea wakati wewe ulishaweka maisha yako yote utakua nae, ulikua unamtegemea kiuchumi na hali yako sasa hivi ni chokas mbaya.
Eee kumbee