Kwanini wazungu wengi ni wapweke?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Kuna kipindi nilienda U.K kwa shangazi mitaa ya Edmonton Green, Katika kuishi kwangu huko nje kwa takribani miezi miwili niligundua ya kwamba wazungu ni watu wapweke mno, Yani maisha yao sio kama huku kwetu ambako hali ya kujumuika na wanafamilia, ndugu na marafiki ipoo juu...Nilishuhudia wazungu wengi sana hasa vijana niliokutana nao mitaani, subways, n.k wakiwa wapweke....

Kwa utaalamu wangu wa simu na computer nilionao nilikuwa nashinda na mtoto mjomba wangu aliekuwa fundi simu na vifaa vingine kama laptop, kuna simu kadha na kadha nilikuwa namuomba nizcheki na vitu nilivyokutana navyo vilinipa jibu tosha kwamba wazungu wengi ni wapweke, ilikuwa kawaida kukuta kwenye whatsapp na message chats kwamba mtu anawasiliana na mtu mmoja tu na akizidi basi ni watu watatu:(,

Pindi napovuta picha ya wabongo ambao walikuwa very social kiasi kwamba mtu kuokea simu mara 40 na mesaage lukuki kwa siku ni kawaida basi nikawa nawaona hawa wazungu ni wapweke mno,

KWANINI WAZUNGU NI WAPWEKE?
 
Hahaha ndiyo maana tunapewa unlimited sms yani kipindi tunapewa sma 100 nlikuwa najiunga vifurush mara tatu enzi hizo whatsapp hakuna.
Sisi tunasocialize bwana
 
Uongeaji sana ni dalili za iq ndogo, kuwa na muda wa kukaa pekee yako ni dalili ya IQ kubwa...na hali hii inawasaidia sana wazungu kuwa wavumbuzi,wabunifu na rahisi kufanikiwa..
more gossips more foolishness,less gossips more success
Kuna kipindi nilienda U.K kwa shangazi mitaa ya Edmonton Green, Katika kuishi kwangu huko nje kwa takribani miezi miwili niligundua ya kwamba wazungu ni watu wapweke mno, Yani maisha yao sio kama huku kwetu ambako hali ya kujumuika na wanafamilia, ndugu na marafiki ipoo juu...Nilishuhudia wazungu wengi sana hasa vijana niliokutana nao mitaani, subways, n.k wakiwa wapweke....

Kwa utaalamu wangu wa simu na computer nilionao nilikuwa nashinda na mtoto mjomba wangu aliekuwa fundi simu na vifaa vingine kama laptop, kuna simu kadha na kadha nilikuwa namuomba nizcheki na vitu nilivyokutana navyo vilinipa jibu tosha kwamba wazungu wengi ni wapweke, ilikuwa kawaida kukuta kwenye whatsapp na message chats kwamba mtu anawasiliana na mtu mmoja tu na akizidi basi ni watu watatu:(,

Pindi napovuta picha ya wabongo ambao walikuwa very social kiasi kwamba mtu kuokea simu mara 40 na mesaage lukuki kwa siku ni kawaida basi nikawa nawaona hawa wazungu ni wapweke mno,

KWANINI WAZUNGU NI WAPWEKE?
 
Wenzetu anawasiliana Na Watu wawili Au watatu Kwa Siku Na idadi ya sms haizidi 10
Lakin Mswahili ana Magroup saba ya wasap kuanzia aliosoma nao Primary mpaka Chuo Kikuu achilia mbali ya mtaani Na Mengineyo lakin yote yanajadili Upuuzi Au ujinga ujinga tu

Nmewahi kupitia comments kwny ma group ya Mawakili, Serikal ya wanafunzi Udsm kupitia Kwa simu za Watoto wangu kuangalia nature ya conversation Yao Yaan Ni ufwala mtupu

Kafa Masogange Kila comment Na Picha iliyo rushwa inahusu Maungo yake Na upuuzi wa namna hiyo

Wenzetu hawana Muda wa kupoteza

Mie sijawahi kufika Japan Ila kuna Jamaa alikuwa ananipa story za kule anakwambia utadhan tupo kwenye sayari mbili tofauti
 
Kuna kipindi nilienda U.K kwa shangazi mitaa ya Edmonton Green, Katika kuishi kwangu huko nje kwa takribani miezi miwili niligundua ya kwamba wazungu ni watu wapweke mno, Yani maisha yao sio kama huku kwetu ambako hali ya kujumuika na wanafamilia, ndugu na marafiki ipoo juu...Nilishuhudia wazungu wengi sana hasa vijana niliokutana nao mitaani, subways, n.k wakiwa wapweke....

Kwa utaalamu wangu wa simu na computer nilionao nilikuwa nashinda na mtoto mjomba wangu aliekuwa fundi simu na vifaa vingine kama laptop, kuna simu kadha na kadha nilikuwa namuomba nizcheki na vitu nilivyokutana navyo vilinipa jibu tosha kwamba wazungu wengi ni wapweke, ilikuwa kawaida kukuta kwenye whatsapp na message chats kwamba mtu anawasiliana na mtu mmoja tu na akizidi basi ni watu watatu:(,

Pindi napovuta picha ya wabongo ambao walikuwa very social kiasi kwamba mtu kuokea simu mara 40 na mesaage lukuki kwa siku ni kawaida basi nikawa nawaona hawa wazungu ni wapweke mno,

KWANINI WAZUNGU NI WAPWEKE?
Busy
 
Uongeaji sana ni dalili za iq ndogo, kuwa na muda wa kukaa pekee yako ni dalili ya IQ kubwa...na hali hii inawasaidia sana wazungu kuwa wavumbuzi,wabunifu na rahisi kufanikiwa..
more gossips more foolishness,less gossips more success
Active mind, muda hamna, tuongee nini?
 
Wameshachunguza kuwa na marafiki 5000 kwenye fb,magroup ya watsap haikusaidii chochote. Nikwambie wazungu sio wapweke mambo yao wanapanga kwa ratiba. Sio kama sisi tunajifanyia tu
 
Wenzetu wanaongea sana kwenye mijadala ya maendeleo na uvumbuzi
Ukitaka kujua mzungu anaongea sana or not mfate kazini au mavyuoni kwao the way walivyo active kwenye mijadala ya kuimprove knowledge pamoja na kuibua mawazo mapya.
Hapo ndo utaona wakati wenzetu wanajiandaa kuandaa makazi mars na kusolve kesi ngumu ambazo mtu ukisimuliwa unashangaa, sisi tunaendelea kulialia njaa na kulalamika maisha magumu.
Wenzetu kule hata kama mtu anafanya kazi ya kuuza juice basi kila siku anaumiza kichwa how to improve the business ili kusatisfy customers zaidi.
Huo muda wa umbeya na porojo ataupata wapi?
 
Mkuu mbona mimi kwa siku sipokei simu zaidi ya 4 na wala sipo kwenye group lolote na wala si mpweke
 
nacheka sana wabongo wanaponda tabia zao ila kuziach hawataki.

mbongo kwa umbea ndo maana wengi wanapigana wapewe ile kazi ya umbea umbea tu. kazi hawataki
 
Tatizo wa bongo tumetoka mbali wengi tumrsaidiwa na ndg na jama kama huna cha kuwalipa bora uwape maneno kuonyesha kua pamoja....hayo maisha wazungu wanayatamani ila yamesha wapita......nacc tukiangia katika middle class income baada ya viwanda kuongezeka hatutakua na mda wakupoteza tena. Muombee sana raisi afanikishe tz ya viwander
 
Mambo magumu sana kwao ndiyo maana muda mwingi wanautumia kuwaza na kuwazua kila mtu kivyake vyake...

Cc: mahondaw
 
Hii kasumba ndio naiona sana arusha machalii wakimuona mzungu yuko na hamsini zake wanamfuata wanamuongelesha hadi anakofika hata kama kaweka earphone jamaa wanakomaa nae eti wampe kampani. Inatushusha sana
 
Back
Top Bottom