Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
kuna ripoti naisoma hapa inasema Wazungu 61000 wamekufa marekani kutokana na mafua ndani ya mwaka mmoja.hii ripoti ilitolewa na ikulu ya marekani muda mfupi tu kabla ya hili vugu vugu la corona.
Pia kwenye corona Wazungu ndo wamekufa zaidi.asilimia tisini na tisa ya watu waliokufa na corona ni Wazungu. Hapa Africa nchi yenye vifo vingi vya corona ni Congo ambapo wamekufa watu Tisa.rwanda na Uganda hamna aliyekufa.south africa wamekufa watano.nigeria na togo mmoja.ivory coast mmoja.
Swali linakuja kwanini wazungu wanasumbuliwa sana na mafua kiasi cha kufa kabisa?? Ripoti yenyewe ya ikulu ya marekani hii hapahttps://www.google.co.tz/amp/s/amp.cnn.com/cnn/2020/03/09/politics/trump-biographer-grandfather-flu/index.html
Hittin Blunts and Bustin Nuts