Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

wacha ujinga wewe unataka kumaanisha ati ndege za serikali (TGFA) hazitumiki? Hivi inapita wiki bila government official kusafiri nchini?
Hayo maFokker na ww ndio unaita ni ndege. Kampuni yenyewe ya Fokker ilishakufa mwaka 1996. Ww ndio mjinga kabisaa. Kumaintain hayo madude sasa hivi ni gharama mnoo. Kwa ufupi HAZITUMIKI!!!
 
Hayo maFokker na ww ndio unaita ni ndege. Kampuni yenyewe ya Fokker ilishakufa mwaka 1996. Ww ndio mjinga kabisaa. Kumaintain hayo madude sasa hivi ni gharama mnoo. Kwa ufupi HAZITUMIKI!!!
Mjinga ni ukoo wako! kwehiyo ile ndege kuukuu ya Regionalair ndo ya kisasa sio?
 
Attachments

  • fokker-50.pdf
    380.4 KB · Views: 6
Hivi nyie mnajua gharama za kumiliki, kumaintain, na kutunza ndege? Kama hauitumii mara kwa mara ni afadhali kukodi tu au hata kusafiri first class kwa intercontinental trips.

Hayo maswali wangejiuliza kabla ya kuzinunua. Unazinunua kisha unazivundika kama maembe ili ziive ama?
 
Mzalendo wapi upuuzi mtupu,kachukua hela za wastaafu huko kwny mifuko ya jamii kanunulia ndege afu anasema tumenunua kwa pesa zetu za ndaniii.Kafanya wastaafu waishi Maisha magumu kishenzi.Hovyo Sana.
Badala ya kushukuru kuwa Waziri Mkuu analipunguzia Taifa hasara kwa kutumia usafiri wa umma yaani Nchi yetu imejaa mazero IQ kwakweli.

Ukipiga hesabu ya kuchoma mafuta ya jet Dar to Kigoma kwa lisaa limoja ni fedha nyingi.
 
kwahiyo? kwani shughuli za serikali ni za kibiashara? Hao wamachinga leseni yao inasomaje?
Hayo ni yako, lakini wamachinga wanasauti kubwa kuliko MO na Bakhresa, na wakikohowa tu Mkuu wa Mkoa analiwa kichwa wakati niliowataja haiwezekani, Rais wa nchi anawanyenyekea halafu wewe unaleta zako!
 
Mwaka mmoja uliopita

Sasa anatumi za kukodisha

Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!

Gharama kubwa kiasi gani? Weka hapa hizo gharama kubwa sio kubwabwaja tuu..

Kwa hiyo in case mandege yenu Yale outdated yakoharibika shughuli za serikali zisubirie hadi matengenezo?

Unaishiwa sasa we Mzee..

Kwanza ile mindege ya fokker sijui nini ni mibovu Sana,kila kitu mdomo ndio maana mimi huwa natukanaga watu humu.
 
Yaani Hii nchi toka Magufuli afariki hata staki kufuatilia chochote kuhusu hawa Watu,kuanzia mama,Majaliwa mpaka chini,nawachukia sana.sasa Hivi umeme unakatika hivyo,rushwa imeshamiri,matumizi holela ya Rasilimali,upendeleo,kujuana.
Asee wew hunizidi mimi yani hata sijui kwanini Mungu katuachaniza
 
Gharama kubwa kiasi gani? Weka hapa hizo gharama kubwa sio kubwabwaja tuu..

Kwa hiyo in case mandege yenu Yale outdated yakoharibika shughuli za serikali zisubirie hadi matengenezo?

Unaishiwa sasa we Mzee..

Kwanza ile mindege ya fokker sijui nini ni mibovu Sana,kila kitu mdomo ndio maana mimi huwa natukanaga watu humu.
Sasa wewe sijui unaongelea kitu gani! Inaonekana haujui utaratibu wa serikali kazi yako ni kutukana tu. Serikali ina ndege zake siyo ATCL uijuayo wewe, inayo Government Flight Agency yaani kitengo cha ndege za serikali. Ndege hizo ni pamoja na ya Rais na nyingine za matumizi ya kawaida ya kiserikali tu. Mleta mada anahoji kwanini hatumii hizo za serikali badala yake anakodi za wamachinga wa ndege (sic).
 
Sasa kwani mimi nimeongea nini? Kama ziko matengenezo? Alafu kwani hujui ndege nyingi ni za zamani hazina usalama?
 
Kwa sasa ndege za serikali zote zipo Atcl,kwa hiyo kama zimepangiwa
safari ya abiria itakua ngumu kufuta
Ukumbuke kuwa hata angpanda bombadier ni lazima wakala wa ndege za serikali alipe kwa Atcl,kwa hiyo hakuna tatizo labda kama bajeti iliowekwa kwa trip itakua juu
 
Mwaka mmoja uliopita

Sasa anatumi za kukodisha

Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!
Pengine zipo matengenezo. Na kama ni matengenezo makubwa huwa ni gharama kubwa sana hivyo itachukua muda mrefu kuzirudisha barabarani.
 
zitengenezwe si ma-engineer wa TGFA wapo? Fokker ni ndege zilizotengenezwa kwa mazingira yetu! uendeshaji wake ni nafuu kuliko hizi za kukodi!

BTW Fokker ilitumiwa majuzi na Makamo wa Rais alipoenda huko Burundi
E3aglGNWYAEkcES
Ndege siyo kama gari mzee, wakati mwingine hulazimika kuwaita wataalamu wa kiwandani waje kufanya matengenezo.
Hao maengineer wanafanya baadhi tu ya matengenezo.
 
Back
Top Bottom