Kwanini Waziri Mkuu anatumia ndege za kukodi za Serikali zimeenda wapi?

Mwaka mmoja uliopita




Sasa anatumi za kukodisha



Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi!

ATCL haijawahi kufufuka ila ndio unazidi kufa kila siku.
 
Mkuu uko km mm sitaki presha ya moyo maana hata wanachoongea wao hawakiamini mm ni mbishi ila ilifika mahara mh rais mwendazake akihutubia nilikua nakaaa natulia kumsikiliza ila hawa twende nao tu ...
Magufuli hakuwa mzuri kwa Kila kitu,ila kwa uongozi wake, TANZANIA 🇹🇿 ya 'kesho' ilikuwa inaonekana, yaani alikuwa anahutubia Kama vile anaongea na mtu wa kawaida yaani alikuwa anagusa maisha ya mtanzania ya Kila siku,Sasa hivi hata kinachoongelewa hakieleweki,vitu vimepanda Sana! Tozo kwenye simu,benki n.k. nina hasira Sana😠😠
 
Asee wew hunizidi mimi yani hata sijui kwanini Mungu katuachaniza
Mkuu,angalia hata kwenye swala la madini, tulikuwa tunapata 'updates' walau Mara moja moja,Sasa Hivi hata waziri wa madini nimemsahau jina sura! There is something fishy going on.😠😠
 
JPM alikuwa na mapungufu kibao, ila kwenye upuuzi kama huo kamwe asingekubali!.
Unamzungumzia JPM yupi wewe?! Kama unamaanisha huyu Mwendakuzimu umebugi; hakuna mtu ameishi kwa kuharibu maisha yake mwenyewe na maisha ya wananchi wenzie kama huyo! Tema mbali Sana!
 
Unamzungumzia JPM yupi wewe?! Kama unamaanisha huyu Mwendakuzimu umebugi; hakuna mtu ameishi kwa kuharibu maisha yake mwenyewe na maisha ya wananchi wenzie kama huyo! Tema mbali Sana!
Weka ushahidi kwa upupu wako huo😠
 
Wanafiki wanaendelea na kikao chao
Magufuli mlimtukana
Mama samia hafai
Kizazi chote kinatakiwa kipigwe bomu kipotee kije kizazi kingine.
 
kwahiyo? kwani shughuli za serikali ni za kibiashara? Hao wamachinga leseni yao inasomaje?
Wamachinga wa ndege wanazo leseni za biashara kwa ajili ya kukodisha ndege, biashara ya kukodisha ndege ni ngumu hasa Dar ambako zipo ndege kubwa nyingi. Serikali ndiyo tegemeo lao kubwa kwenye kukodi, sasa endapo serikali itatumia ndege zake (GFA) hawa wamachinga wa ndege (charter planes) hawatakuwa na wateja wa kukodi, kutokana na hilo wanasuka mambo ili viongozi wasitumie GFA wakodi zao, sawa na wale waliokuwa wanafanya semina nyeti za kiserikali kwenye hoteli za kitalii badala ya kutumia kumbi za serikali!
 
Back
Top Bottom