Kwanini Wazazi wengi walio Majasusi wakubwa huwa hawapendi Watoto wao kuwa Majasusi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,550
108,882
Hii kitu nimeiona sana nchini Uganda, Zambia, Rwanda na hata Afrika ya Kusini ( japo sina uhakika na sijajua kama Tanzania pia ipo kwakuwa sikai sana huko ) kwamba wale Wazazi ambao ni Majasusi / Mashushu / Wana Usalama / Manjagu wakubwa sana huwa si tu hawapendi bali hawataki kabisa Watoto wao kuja kuifanya hiyo Kazi.

Je mnadhani ni kwanini hawa Wazazi hufanya hivi hasa kwa Watoto zao? Ni sababu gani Kubwa ambayo huwafanya wawazuie Watoto wao kabisa wa Kuwazaa nao kuja kuwa Majasusi kama wao? Na kwanini huwa wapo tayari kuwaingiza Watoto wa wengine au Ndugu zao ila siyo Watoto zao?

Nawasilisha.
 
Ni kwasababu ni kazi ya kupewa maagizo tu nini ufanye na nini usifanye ukienda sivyo lazima bullet ikuhusu, ni kama saivi CCM wasivyopenda kufanya kazi na JPM maana anawaamurishwa tu kama watoto wake hadi spika wa Bunge mpaka apige simu nani wa kumuweke kwenye kamati ya makinikia na nani asimuweke.
 
Hapana siyo ukweli hata kidogo na upunguze ujuaji Gentamycine.
Mosi, hii kitu umeiona sana Uganda, Zambia,Rwanda na Afrika Kusini au umesimuliwa ???

  1. Umefanya uchunguzi huo saa ngapi na kwa muda gani ??
  2. Umetumia Research Methodology gani ??
  3. Halafu wewe unawajua Majasusi wote pamoja na watoto wao wa nchi zote hizo hapo juu ??
  4. Umewahi shuhudia kwa macho na masikio yako hao majasusi wanakataa kuwaweka watoto wao huko ?
NB 1: Please stop hallucinating: Kwasababu kama wewe ungeweza kuyajua maisha binafsi ya hawa majasusi wa nchi hizo husika nakuhakikishia ungekuwa mtu wa maana sana hapa nchini (Probably some Think Tank huko) ambaye hashindi hapa Jamii Forums 24/7 ukibishana na wakulima kama sisi wakina MALCOM LUMUMBA.

NB 2: Please be coherent: Kama umefanya utafiti wa nchi hizo ya ziadi ya tatu unashindwaje kuwa na majibu ya tafiti zako ?? Uchunguzi ufanye wewe halafu uje kutuuliza sisi ambao hatujawahi kufika hata Kenya tu. (Its like you are having sex with your wife and expecting your neighbour to Orgasm: Very Incoherent)

Pili, Unafumbia macho ukweli au pengine hujui kwamba hakuna sehemu inayonuka upendeleo wa madaraka kwa minajili ya kikabila, kikanda, kidini na kindugu kama Afrika. Hakuna mzazi wa Kiafrika anaweza kupata nafasi ya juu na asiweze kumuandaa mtoto wake au mjukuu wake: Katika Asilimia 100% basi ni Asilimia 2% tu. Kibaya zaidi katika nchi ulizozitaja hakuna zinazonuka upendeleo kama Rwanda na Uganda: Watutsi wamekosa kabisa kujiamini na wameamua kuweka watoto wao ili kuendelea kumfanya Kagame ajihisi yuko salama (Kakosa kujiamini kabisa).Haya angalia hapo Uganda yule Mtutsi Museveni anvyohaha na kuendelea kumuandaa mtoto wake aje kuwa Raisi wa Uganda ili aendelee kulinda mfumo aliouweka Museveni .

NB: Waswahili tunasema mwenye macho haambiwi tazama!

Tatu, Mashirika mengi ya Usalama hapa duniani (Kuanzia Tsarist Chekas, MI6, KGB hadi CIA) hupendelea watoto wa wana-usalama kwasababu ni warahisi kuwaendesha na wanakuwa tayari kulinda mfumo ambao umewafanya wao kufika hapo walipo na kuwa na maisha mazuri kuliko familia nyingine. Mfano Anna Chapman yule jasusi wa Urusi aliyekamatwa U.S.A Baba yake mzazi Vasily Koshenko anafanya kazi Wizara ya mambo ya nje, na kabla ya hapo alikuwa anafanya K.G.B na Aldrich Ames aliyewasaliti C.I.A alikuwa mtoto wa Jasusi Cecil Carleton Ames na huyu mzee alimuingiza mtoto wake ndani ya C.I.A akiwa na miaka 14 kwasababu alikuwa anaijua historia ya dunia katika umri mdogo haijawahi tokea: Wakamweka kwenye kitengo cha kutunza rekodi( Archives and Records). Hata hawa wakina Vladmir Putin, Xi Jinping na George Bush Baba zao walikuwa ni Watu wakubwa kwenye vyombo vya Ulinzi hadi kuwafanya wao waaminike na kufika hapo walipo leo.

Mashirika ya Ujasusi huwa hawatumii nguvu nyingi sana kuwafanyia (Vetting) watoto wa Majasusi wao. Kikubwa zaidi hawa watoto huwa wanatambulishwa (exposed) kwenye mambo mengi nyeti ya nchi tangia utotoni mwao : Hivyo inakuwa rahisi kuwapa mafunzo kwasababu wanakuwa wanajua na kusikia mambo mengi sana ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiulinzi katika uhalisia wake (Tofauti na sisi tunaopata habari zilizochakachuliwa na vyombo vya habari). Leo ikitokea wanataka kuchagua Majasusi (New Recruits) halafu kukawa na mtoto wa mtu kama Mzee Jack Zoka na mimi MALCOM LUMUMBA unadhani hao TISS watanibeba mimi hata kama mimi nina uwezo kupita huyo mtoto wa Mzee Zoka ???

La hasha,
ni lazima watambeba mtu ambaye wao wanamfahamu kirahisi, hawatatumia gharama nyingi za kuanza kumfundisha kwasababu anakua anajua a,e,i,o,u za Ujasusi na kikubwa zaidi mtu wanayeweza kumwendesha kwa rimoti. Mimi hata baba yangu hajulikani na nimekulia mazingira ya kimaskini naweza nikawa limbukeni huko mbeleni nikaja waharibia mipango yao: Na hii hufanywa dunia nzima, hata Maraisi tunaona wanapigiwa kura lakini ukweli ni kwamba hadi kufika hatua ya kuwa mgombea wa Uraisi ni dhahiri umeandaliwa vya kutosha. Mfano: George Bush, Barack Obama, Benjamin Netanyahu, Hillary Clinton, John F. Kennedy, Kim Jong-Un na Kim Jong-Il na wengine wengi.

Hebu angalia hata kule CHADEMA,
Watu wanaofanya kazi nyeti ni wale kutoka Kanda yetu pendwa na watoto wa fulani na fulani. Hii ni kwasababu hawewezi kumchukua NSHOMILE MALCOM LUMUMBA kirahisi-rahisi tu. Itachukua muda mrefu sana mpaka kuaminika kwasababu wanaogopa nisije nikawa Zitto Kabwe wa Pili. Hasahasa hawa mabwana waliokuja kipindi hiki (Mawaziri wakuu wastaafu) CHADEMA wana huo utaalamu wa kuunda Mitandao ya kinamna hiyo. Mara utasikia mtoto wa Consigliere wa Mzee Mamvi fulani fulani Mwanani yule wa Mbeya (Mstaafu wa TISS) ndiye mratibu wa Toroka Uje, mara wameonekana Dodoma wanamwaga mapesa. Kazi kama hii hawampi mtu wa nje kama mimi hata siku moja. (thubutuuuuuuu)

NB: Kasheshe kubwa ni kwamba huu mfumo ni dhahiri kwamba umetushinda kabisa sisi Waafrika hasahasa Watanzania.

Hatukatai kuweka watoto wenu lakini wawe hata na vigezo basi. Kipindi cha Mzee Nyerere utii kwa chama na kuwa mjamaa ilikuwa ni kigezo kikubwa cha kukufanya upande ngazi haraka hata kama wewe huna Elimu. (Hebu angalia wale wakina Mzee Mlawa wa Iringa walivyokuwa na macheo mengi huko Usalama, lakini Elimu hakuna). Kipindi hiki wakubwa wamejaza watoto wao huko TISS hadi inatia kinyaaa, kibaya wengi wao hata uwezo wao ni wa kawaida sana hata mimi Nshomile wa Kagera nahisi kabisa huyu jamaa yuko pale Foreign Affairs, B.O.T au Ubalozini lakini kabebwa sanaaaa na Genealogy. Ndiyo maana hata leo nchi inakuwa ngumu kubadilika hata Raisi Magufuli anajua kabisa kwamba CCM imeharibu nchi kwa mchezo wa vigogo kuweka watoto wao JWTZ, PCCB, BOT, POLISI na TISS bila kuangalia vigezo na uwezo wa mtu. (Wao wakisikia tu huyu ni mtoto wa fulani kasoma Diplomacy Uingereza wanamshauri aende akachukue kadi ya Chama na aanze kuvaa kijani na mara utasikia fulani yuko Ofisi fulani nchini: So Disgusting)

NB: Narudia tena mwenye macho haambiwi tazama, hakuna sehemu inayonuka upendeleo kwa kindugu kwenye nafasi nyeti kama Barani Afrika. Tena wanapeana bila hata kuwa na akili: Ndiyo maana Umasikini hauji kuisha kirahisi.
 
Baba akisaliti au akifanya makosa makubwa.....ni tatizo,kwa taratibu zao kuuwana ni kitu cha kawaida

Halafu ukimuua baba wakati mwanaye kashamuingiza usalama,au kama mmoja kasaliti,usalama wanaweza kuuwa wote familia ikaisha

Pia ni kazi ambayo inaleta umbeya kwenye familia,usiri,na umasikini
 
Hapana siyo ukweli hata kidogo na upunguze ujuaji Gentamycine.
Mosi, hii kitu umeiona sana Uganda, Zambia,Rwanda na Afrika Kusini au umesimuliwa ???
  1. Umefanya uchunguzi huo saa ngapi na kwa muda gani ??
  2. umetumia Research Methodology gani ??
  3. Halafu wewe unawajua Majasusi wote pamoja na watoto wao wa nchi zote hizo hapo juu ??
  4. Umewahi shuhudia kwa macho na masikio yako hao majasusi wanakataa kuwaweka watoto wao huko ?
NB 1: Please stop hallucinating: Kwasababu kama wewe ungeweza kuyajua maisha binafsi ya hawa majasusi wa nchi hizo husika nakuhakikishia ungekuwa mtu wa maana sana hapa nchini (Probably some Think Tank huko) ambaye hashindi hapa Jamii Forums 24/7 ukibishana na wakulima kama sisi wakina MALCOM LUMUMBA.

NB 2: Please be coherent: Kama umefanya utafiti wa nchi hizo ya ziadi ya tatu unashindwaje kuwa na majibu ya tafiti zako ?? Uchunguzi ufanye wewe halafu uje kutuuliza sisi ambao hatujawahi kufika hata Kenya tu. (Its like you are having sex with your wife and expecting your neighbour to Orgasm: Very Incoherent)

Pili, Unafumbia macho ukweli au pengine hujui kwamba hakuna sehemu inayonuka upendeleo wa madaraka kwa minajili ya kikabila, kikanda, kidini na kindugu kama Afrika. Hakuna mzazi wa Kiafrika anaweza kupata nafasi ya juu na asiweze kumuandaa mtoto wake au mjukuu wake: Katika Asilimia 100% basi ni Asilimia 2% tu. Kibaya zaidi katika nchi ulizozitaja hakuna zinazonuka upendeleo kama Rwanda na Uganda: Watutsi wamekosa kabisa kujiamini na wameamua kuweka watoto wao ili kuendelea kumfanya Kagame ajihisi yuko salama (Kakosa kujiamini kabisa).Haya angalia hapo Uganda yule Mtutsi Museveni anvyohaha na kuendelea kumuandaa mtoto wake aje kuwa Raisi wa Uganda ili aendelee kulinda mfumo aliouweka Museveni .

NB: Waswahili tunasema mwenye macho haambiwi tazama!

Tatu, Mashirika mengi ya Usalama hapa duniani (Kuanzia Tsarist Chekas, MI6, KGB hadi CIA) hupendelea watoto wa wana-usalama kwasababu ni warahisi kuwaendesha na wanakuwa tayari kulinda mfumo ambao umewafanya wao kufika hapo walipo na kuwa na maisha mazuri kuliko familia nyingine. Mfano Anna Chapman yule jasusi wa Urusi aliyekamatwa U.S.A Baba yake mzazi Vasily Koshenko anafanya kazi Wizara ya mambo ya nje, na kabla ya hapo alikuwa anafanya K.G.B na Aldrich Ames aliyewasaliti C.I.A alikuwa mtoto wa Jasusi Cecil Carleton Ames na huyu mzee alimuingiza mtoto wake ndani ya C.I.A akiwa na miaka 14 kwasababu alikuwa anaijua historia ya dunia haijawahi tokea: Wakamweka kwenye kitengo cha kutunga rekodi( Archives and Recoreds). Hata hawa wakina Vladmir Putin na George Bush Baba zao walikuwa ni Watu wakubwa kwenye vyombo vya Ulinzi hadi wakafika hapo walipo leo.

Mashirika ya hawatumii nguvu nyingi sana kuwafanyia (Vetting) watoto wa Majasusi wao.
Kikubwa zaidi hawa watoto huwa wanatambulishwa (exposed) kwenye mambo mengi nyeti ya nchi tangia utotoni mwao : Hivyo inakuwa rahisi kuwapa mafunzo kwasababu wanakuwa wanajua mambo mengi sana ya Kisiasa, Kiuchumi na Kiulinzi. Leo ikitokea wanataka kuchagua Majasusi (New Recruits) halafu kukawa na mtoto wa mtu kama Mzee Jack Zoka na mimi MALCOM LUMUMBA unadhani hao TISS watambeba nani hata kama mimi nina uwezo kupita huyo mtoto ??? Watambeba mtu ambaye wao wanamfahamu kirahisi, hawatatumia gharama kumfundisha na wanayeweza kumwendesha kwa rimoti. Mimi hata baba yangu hajulikani na nimekulia mazingira ya kimaskini naweza nikawa limbukeni huko mbeleni nikawaharibia mipango yao.

Hebu angalia hata kule CHADEMA,
Watu wanaofanya kazi nyeti ni wale kutoka Kanda yetu pendwa na watoto wa fulani na fulani. Hii ni kwasababu hawewezi kumchukua NSHOMILE MALCOM LUMUMBA kirahisi-rahisi tu. Itachukua muda mrefu sana mpaka kuaminika kwasababu wanaogopa nisije nikawa Zitto Kabwe wa Pili. Hasahasa hawa mabwana wa kipindi (Mawaziri wakuu wastaafu) hiki walioingia CHADEMA wana huo utaalamu wa kuunda Mitandao ya kinamna hiyo. Mara utasikia mtoto wa Consigliere wa Mzee Mamvi fulani fulani Mwanani yule wa Mbeya (Mstaafu wa TISS) ndiye mratibu wa Toroka Uje, mara wameonekana Dodoma wanamwaga mapesa. Kazi kama hii hawampi mtu wa nje kama mimi. (thubutuuu)

NB: Kasheshe kubwa ni kwamba huu mfumo ni dhahiri kwamba umetushinda kabisa sisi Waafrika hasahasa Watanzania.
Hatukatai kuweka watoto wenu lakini wawe hata na vigezo basi. Kipindi cha Mzee Nyerere utii kwa chama na kuwa mjamaa ilikuwa ni kigezo kikubwa cha kukufanya upande ngazi haraka hata kama wewe huna Elimu. (Hebu angalia wale wakina Mzee Mlawa wa Iringa walivyokuwa na macheo mengi huko Usalama, lakini Elimu hakuna). Kipindi hiki wakubwa wamejaza watoto wao huko TISS hadi inatia kinyaaa, kibaya wengi wao hata uwezo wao ni wa kawaida sana hata mimi wa Nshomile wa Kagera nahisi kabisa huyu jamaa yuko pale Foreign Affairs, B.O.T au Ubalozini lakini kabebwa sanaaaa na Genealogy. Ndiyo maana hata leo nchi inakuwa ngumu kubadilika hata Raisi Magufuli anajua kabisa kwamba CCM imeharibu nchi kwa mchezo wa vigogo kuweka watoto wao JWTZ, PCCB, BOT, POLISI na TISS bila kuangalia vigezo na uwezo wa mtu. (Wao wakisikia tu huyu ni mtoto wa fulani kasoma Diplomacy Uingereza wanamshauri aende akachukue kadi ya Chama na aanze kuvaa kijani na mara utasikia fulani yuko Ofisi fulani nchini: So Disgusting)

NB: Narudia tena mwenye macho haambiwi tazama, hakuna sehemu inayonuka upendeleo kwa kindugu kwenye nafasi nyeti kama Barani Afrika. Tena wanapeana bila hata kuwa na akili: Ndiyo maana Umasikini hauji kuisha kirahisi.
You have said it all
 
Mkuu Malcom Jukwaa la Ijtellifence linakutegemea sana lakini hata hufiki siku hizi mkuu, hua nakutag kwenye mada ili uje utupe nondo lakin hutokei, please Rudi mkuu utupe madini..

Sorry for Quoting the whole post..

sasa wewe umewajuaje hao majasusi na kisha ukakuta kuwa hiingiza ndugu zao ni si watoto wao?, mi najua nyanya yake Obama alimuingiza Obama kwenye ujasusi
 
Back
Top Bottom