Kwanini watu wenye roho nzuri huwa hawatajiriki?

Ni matajiri ila sio wa mali na vitu.
Matajiri wa roho...
Utajiri wao ni kuona watu wengine hawapati shida...

Matajiri wa vitu wengi wao dhuluma, unyonyaji, unyanyasaji, taabu wanakula jasho la wengine, makanjanja na vitu nyuma ya pazia ndiyo vimewapa mali.

Everyday is Saturday.............................. :cool:
 
Back
Top Bottom