MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Moja kwa moja kwenye mada.
Watu wengi waume kwa wake, watoto kwa wazee wanaogopa sana kupita makaburi na wengine wanaogopa kabisa MAITI (Mwanadamu aliyetutoka) wenda kuliko kifo chenyewe.
Kwa mtazamo wangu Makaburini nafikiri ni sehemu salama kabisa maana watu wamefariki na hawana uhusiano na chochote kinachoendelea duniani. Maiti ni kitu kisicho na uhai na hakina uhusiano na mtu yoyote aliye hai.
Najaribu kuwaza, Kuna uhalali gani na umuhimu gani wa aina hii ya hofu kuwepo kwa mwanadamu?