[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]uko pamoja na mimiLakini bado haitoshi mama anaonekana bora by ze way wanaume kwenye familia sio waongeaji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekua hayo[emoji849][emoji849][emoji849]Hebu na wewe niambie neno zuri roho yangu itulie
Says like genius[emoji122][emoji122][emoji122]Utawala wao hautofautiani na utawala wa popo
Pale viumbe walalapo ndo muda wao wa mawindo
Viumbe wengi wamepotea kimya kimya bila watu kujua ila ukifatilia kwa umakini, akina mama wanahusika pakubwa
Hakikisho bora kwa mwanamke ni mwanaume. ILA
Tishio kubwa la mwanaume ni mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji42]pole sanaMimi nampenda sana baba kwa sababu maalumu,hata mama nampenda pia ila ukweli utabaki palepale kwamba mapenzi yangu kwa baba ni zaidi[emoji173][emoji173].upumzike kwa amani baba[emoji22][emoji22][emoji22]nitakupenda mpaka siku nitakayokufuata
Jifanye pesa ndo kila kitu, ukitegemea pesa iendeshe furaha ya maisha yako then ndoa itakushinda.kuna watu wanapesa lakini furaha ya ndoa hawana, wake zao wanahangaika kutafuta raha ya mikuno nje ya ndoaPesa ndo kila kitu kaka, kwan ndoa ngapi zinavunjika pesa isipoonekana!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitumie no nikutumie zawadi yako, watu kama wewe ndo wanatakiwa kuwepo ktk ulimwengu huu!!Kwangu mm wazazi wote wako sawa kbs lakini mafanikio mengi kimaisha yanajengwa sana na malezi ya baba, labda niseme mama ana malezi ya kibinadamu hasa, lakini BABA anamalezi ya KIMAISHA KIDUNIA
1. watu wa leo wengi wanakosa malezi ya baba, amezaliwa na single mama , ATAWEZAJE KUMSIFIA BABA ? sbb hajawahi kulelewa na baba hawezi compare, hana cha kulinganisha na mama ndio maana utasikia "hakuna kama mama"
2. Cha kushangaza humu kuna mibaba, midume mizima na ina watoto nayo inasema Hakuna kama mama or mama ni bora kuliko baba, That means Mke wako ni BORA kuliko wewe.
ujinga mtupu ndio maana mnazaa hovyo hovyo mitaani hamlei watoto wenu.
3.Kama basi mama ni bora kuliko baba ni kwa nini duniani kote UBIN WAKO unakuwa wewe ni mtoto wa baba ? mbona hujaitwa John Jesca ? ? Hamisi Halima ??
4. Naomba mjitambue kuwa kama umelelewa na mzazi mmoja tangia leo JITAMBUE UNA MAPUNGUFU kisaikolojia , msituaribie kamwe MAADILI YETU.
5. Ni vema pia tukatambua kuwa jamii zetu hasa mjini na kwa sababu wanawake ni wengi kuliko wanaume, pia matatizo ya kiiuchumi , culture zilivyo jamii iliopo % kubwa sana watakuwa wanalelewa upande mmoja hasa mama haya ndio matokeo yake
me naamini hata ukimtunza mwanao kwa nadhalia ya malezi pasipo kumtizia mahitaji yake yanahitaji kutatuliwa kwa pesa bado pia familia itakushinda..Jifanye pesa ndo kila kitu, ukitegemea pesa iendeshe furaha ya maisha yako then ndoa itakushinda.kuna watu wanapesa lakini furaha ya ndoa hawana, wake zao wanahangaika kutafuta raha ya mikuno nje ya ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi asingeposwa kama ni your everything, angekupata kwa akili zake mwenyew!!!
[emoji872]β[emoji872] nimeiona hiyo[emoji122][emoji122]Kina mama huwalisha sumu watoto na kuwafanya watoto wamuogope baba yao,vitu vingi kina baba husingiziwa japo kuna mababa makatili lakin wapo baba wema tu
Babab zetu hawana muda wa kukaa na sisi wangekuwa wanaonesha huo ukaribu kama wazungu wafanyavyo fitina isingekuwepo
Ila heko kwa kina mama wengi hulea watoto kwa shida,kutelekezwa baba akioa mwanamke mwingine mama husimama imara
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
[emoji122][emoji122][emoji122]Kazi ya baba sio kupendwa hatujaletwa kupendwa na watoto sisi
Sisi n kaz kazi tunatimiza majukumu na kuilinda familia ukikua pita hivi
Tuone na ww kama watoto wako watakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupendwa pendwa baba inaondoa hadhi ya jina baba[emoji122][emoji122][emoji122]Kazi ya baba sio kupendwa hatujaletwa kupendwa na watoto sisi
Sisi n kaz kazi tunatimiza majukumu na kuilinda familia ukikua pita hivi
Tuone na ww kama watoto wako watakupenda
Sent using Jamii Forums mobile app