Mnafiki anajulikana tu wala hajifichi.Tatizo la kutojiamini linawakumba watu wengi sana katika nyanja tofauti tofauti katika maisha kwa mfano unaweza kumkuta mtu anaujasiri wa kuongea na kundi kubwa la watu na hata wakati mwingine anawachekesha kundi zima na huku mtu mwingine ukimwambia aongee na hilo hilo kundi anaweza kujikuta kijasho cha kwapani kinaanza kutoka na mapigo ya moyo kwenda kasi na hatimaye mwili mzima kuanza kutetemeka.
Tatizo huwa ni nini wakuu, mwenye uelewa basi naomba anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua watu wengi Sana wameshindwa kuchukua au kufanya maamuzi ya msingi juu ya maisha yao kutokana na uoga uliojengeka ndani yao. Utakuta wanajiuliza je mimi kweli Nitaweza kufanya Jambo hili na likafanikiwa mara nyingi wanajipa majibu wao wenyewe ya kwamba hawawezi na wanaacha kufanya hilo jambo...na akilifanya mtu mwingine Jambo lile lile utasikia tena wanasemaje kumbe ilikuwa rahisi tu. Mimi ndo Naomba nifahamishwe kitu gani husababisha Hiyo hali?Kabla ya kukushauri embu fafanua kidogo. Kwanza umejuaje kama ni watu wengi ndiyo hawajiamini? hiyo tafiti umeifanya wapi na kwa sample size gani?
Heading/subject ni tofauti kabsa na contentTatizo la kutojiamini linawakumba watu wengi sana katika nyanja tofauti tofauti katika maisha kwa mfano unaweza kumkuta mtu anaujasiri wa kuongea na kundi kubwa la watu na hata wakati mwingine anawachekesha kundi zima na huku mtu mwingine ukimwambia aongee na hilo hilo kundi anaweza kujikuta kijasho cha kwapani kinaanza kutoka na mapigo ya moyo kwenda kasi na hatimaye mwili mzima kuanza kutetemeka.
Tatizo huwa ni nini wakuu, mwenye uelewa basi naomba anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Avatar kweli siyo yangu Ila username ni langu mkuuMnafiki anajulikana tu wala hajifichi.
Kama ikiwa mleta mada unajiamini kwa nini usitumie avatar halisi na username halisi?
Kitendo cha kutumia fake ID ni ushahidi tosha kwamba hata na wewe haujiamini.
Ushauri: Siku zote jifunze kwanza kutoa kibanzi chako kabla haujatoa kibanzi cha mwenzako.
Watoto wa Darslaam wanasema UNA MBWELA MBWELAUnajua watu wengi Sana wameshindwa kuchukua au kufanya maamuzi ya msingi juu ya maisha yao kutokana na uoga uliojengeka ndani yao. Utakuta wanajiuliza je mimi kweli Nitaweza kufanya Jambo hili na likafanikiwa mara nyingi wanajipa majibu wao wenyewe ya kwamba hawawezi na wanaacha kufanya hilo jambo...na akilifanya mtu mwingine Jambo lile lile utasikia tena wanasemaje kumbe ilikuwa rahisi tu. Mimi ndo Naomba nifahamishwe kitu gani husababisha Hiyo hali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimeshamalizana na wewe.
KWANINI WATU WENGI HAWAJIAMINI..... Hiyo ndo original heading Naona mods wameibadilisha wakaiweka kama inavyosomeka. Ila Mm sijaandika hivyoHeading/subject ni tofauti kabsa na content
Kajipange urudi
Hata huweleweki, sasa JF imeingiaje hapo? au unamaanisha wewe mwenyewe kuja na ID feki pasipo kutumia jina halisi? Ukijibu nitarudi kuchangia.Tatizo la kutojiamini linawakumba watu wengi sana katika nyanja tofauti tofauti katika maisha kwa mfano unaweza kumkuta mtu anaujasiri wa kuongea na kundi kubwa la watu na hata wakati mwingine anawachekesha kundi zima na huku mtu mwingine ukimwambia aongee na hilo hilo kundi anaweza kujikuta kijasho cha kwapani kinaanza kutoka na mapigo ya moyo kwenda kasi na hatimaye mwili mzima kuanza kutetemeka.
Tatizo huwa ni nini wakuu, mwenye uelewa basi naomba anisaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo chacha!Mnafiki anajulikana tu wala hajifichi.
Kama ikiwa mleta mada unajiamini kwa nini usitumie avatar halisi na username halisi?
Kitendo cha kutumia fake ID ni ushahidi tosha kwamba hata na wewe haujiamini.
Ushauri: Siku zote jifunze kwanza kutoa kibanzi chako kabla haujatoa kibanzi cha mwenzako.
tango pori hiliMazoea, mara nyingi watu waliokulia kwenye familia kubwa wana confo balaa ukilinganisha na wale waliozaliwa peke yao ama wachache
Heading original siyo hiyo ndo maana Maelezo yanakinzana na heading... Heading original iko hivi... KWANINI WATU WENGI HAWAJIAMINI... Naona Mods wameibadilisha wakaiweka kama inavyosomeka hapoHata huweleweki, sasa JF imeingiaje hapo? au unamaanisha wewe mwenyewe kuja na ID feki pasipo kutumia jina halisi? Ukijibu nitarudi kuchangia.
Pia bdo heading ingekuw haijakaa poa....labd ungesema KWA NN WATU WENGI HUPATWA NA WOGA WAKIWA MBELE YA KADAMNASI?KWANINI WATU WENGI HAWAJIAMINI..... Hiyo ndo original heading Naona mods wameibadilisha wakaiweka kama inavyosomeka. Ila Mm sijaandika hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru Sana kwa marekebisho mkuuPia bdo heading ingekuw haijakaa poa....labd ungesema KWA NN WATU WENGI HUPATWA NA WOGA WAKIWA MBELE YA KADAMNASI?
Kumbe na wewe ID yako original, basi sawaMnafiki anajulikana tu wala hajifichi.
Kama ikiwa mleta mada unajiamini kwa nini usitumie avatar halisi na username halisi?
Kitendo cha kutumia fake ID ni ushahidi tosha kwamba hata na wewe haujiamini.
Ushauri: Siku zote jifunze kwanza kutoa kibanzi chako kabla haujatoa kibanzi cha mwenzako.