Duuh nilitegemea Mungu asingewaweka kwenye vitaWatu wa Mungu wana vita sana...
Nilitegemea wazazi wako wasingekuzaa coz maisha ni magumuDuuh nilitegemea Mungu asingewaweka kwenye vita
Vita sio ya Mungu ni ya adui yetu ShetaniDuuh nilitegemea Mungu asingewaweka kwenye vita
Aisee na Mungu anaangalia tu mnateseka. Poleni ndugu zetuVita sio ya Mungu ni ya adui yetu Shetani
Anatutesa sababu tumemkataa
Wangekua na akili kama zangu kusema ukweli wasingenizaaNilitegemea wazazi wako wasingekuzaa coz maisha ni magumu
Alafu yeye pia kuna watu aliwatesa na kuwaua kabisa wengine aliwabadilisha wakawa Jiwe la chumvi kisa tu kutofautiana mitazamo. NomaMungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na Mateso?
Badala yake Dunia ya mateso ipo, Watu wanateseka?
Huyo Mungu yupo kweli?
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ukifuatilia kwa makini na ukiwa na upeo mkubwa wa kufikiri na uelewa.Alafu yeye pia kuna watu aliwatesa na kuwaua kabisa wengine aliwabadilisha wakawa Jiwe la chumvi kisa tu kutofautiana mitazamo. Noma
Vita vyetu sio vya damu na nyama ni vya kiroho...Aisee na Mungu anaangalia tu mnateseka. Poleni ndugu zetu
Nakutakia kila la kheri kwenye mapigano mkuuVita vyetu sio vya damu na nyama ni vya kiroho...
Mungu wetu ametupa uwezo ambao ni nguvu za Rohoni za kupiga falme zote za wakuu wa giza...
Si hivi ulivyofikiria vita wanayopigwa watu wa mungu ni kule kuwa kwao kinyume na waovu hakuna mtu wa mungu atakayeshabikia pombe, kamari, uzinzi, wizi, kula kisicho halali yake na mengineyo mf wa haya na dunia tuliyonayo haya yamekuwa ni vitu vya kawaida sanaDuuh nilitegemea Mungu asingewaweka kwenye vita
Labda wewe ni miongoni mwa watu ambao wanajitahidi sana kufanya yaliyo mema machoni pa Mungu na kusaidia jamii.
Hata hivyo pale unapopata mateso maishani labda kwanini ninateseka hata ingawa nimejitahidi kufanya yote yaliyomema!
Endapo umefikia hatua hiyo na kujiuliza maswali hayo, nakutia moyo kuwa hauko pekeyako. Na kwakweli kwa silika ya mwanadamu ya kupenda haki, kuona wanadamu wema wanateseka ni lazima kutatokea maswali kama hayo na hata zaidi labda ukatilia shaka kusudi la Mungu kutuumba au hata kuwepo kwake.
Fuatilia nami kwenye Kiambatishi
Hivyo vimekuwepo tangu kabla hata yesu hajazaliwa mkuu, kumbuka pia muujiza wa kwanza wa Yesu ni kubadili maji kuwa divai/mvinyo. Watu wa mungu tumeambiwa tunywe kwa kiasiSi hivi ulivyofikiria vita wanayopigwa watu wa mungu ni kule kuwa kwao kinyume na waovu hakuna mtu wa mungu atakayeshabikia pombe, kamari, uzinzi, wizi, kula kisicho halali yake na mengineyo mf wa haya na dunia tuliyonayo haya yamekuwa ni vitu vya kawaida sana