Kwanini watu warefu wapo hivi?

kwani urefu ni kuanzia kipimo gani vile?
Mimi nina mita 1.9

Hasheem thabeet ana 2.21m

Kocha wa arsenal ana 1.91m

Hao ni moja kati ya watu warefu duniani (sio kwamba ndio wanaoo goza! Sijasema )

Kwa maoni yangu urefu unapimwa kulingana na mazingira (local measurements)

Lakini kisayansi nadhani vipimo vitakuwepo bila shaka..

Usiku mwema!
 
Hivi kumbe kimo cha mtu na tabia vina uhusiano alahh kumbe
 
Dah ata me nnaushuhuda kiukwel watu warefu kidogo ata akili zao hazipo sawa sawa. Wakimya ila ata wakiongea mara nyingi huongea ujinga. wengi wao ni waoga wa kujaribu mambo tofauti na wafupi pia hupenda kujifanya wababe na wenye dharau.
 
Aisee, me rafiki zangu karibu wote nimewazidi urefu. Na tunaongozana bila tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…