Kwanini watu warefu wapo hivi?

Mmmhhh huo urefu unaouongelea wewe ni UPI??
 
hizo tabia ulizozitaja karibu asilimia 85 kama ninazo vilee?!! ila hiyo namba 6 iko pembeni kabisa..
ngoja nijifanyie tathmini kwanza.
 
Urefu upi sasa.........wa kwenda chini au juu.......?
 
mmmh mmetuandama tu mtuache urefu ngongoti dharau debe hamtaki andamaneni
 
Mbona me mrefu na sipo hivyo, tena rafiki zangu karibu wote ni wafupi kwangu na naongozana nao tu bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…