Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,251
Kafara ni aina ya sadaka ya damu inayotolewa ili kufunika uovu au shukrani Kwa Mungu/miungu. Na uovu ni udhaifu fulani unaotokana na jamii husika kwenda kinyume au kumsahau Mungu wao Kwa mda mrefu.
Kwenye damu ndo roho ya Mungu/miungu inakutania Kwa sababu uhai wa kiumbe hai upo kwenye damu.
Ndo maana hata Mungu alimwambia ibrahimu kuna vitu siwez kukuambia mpaka unitolee sadaka aina ya kafara, Unaweza jiuliza mbona naongea na Mungu/miungu Kila siku au kila Mara, Kwa hy sadaka ya kafara ya nin jibu ni kwamba kuna vitu Mungu au miungu hawawezi kukuambia mpaka uwatolee sadaka aina ya kafara.
Mhusika wa kutoa kafara ni kuhan, Mara nyingi ni wazaliwa wa kwanza wa kiume, Kuhan anapotoa kafara roho yake kama mwakilishi wa watu husika anakua anauwezo wa kuongea na Mungu au miungu Kwa niaba ya mtu, watu wa familia au jamii husika, ndo maana kuhani akishatoa kafara anakua na ujumbe. Kuhan ni mtu ambaye anahusika katika kutoka kafara.
Hata Kwa wale wanatoa kafara watakubaliana na mimi, kwamba sio kila mtu anatoa kafara, na kama sio muhusika ukaenda kutoka kafara basis mauti inaweza kukuta hapo hapo au kilema.
Lengo LA kafara ni kutoa shukran kama sehemu ya kuwakumbuka Mungu/miungu, kuomba hitaji fulani, na kufunika uovu, uovu ni dhambi iliyokomaa inayoshababisha madhaifu kama ugonjwa wa kurith, au tabia inayotokana na pale unapoenda kinyume na taratibu/sheria husika, mfano kwa wakristo ukifanya dhambi Kwa mda mrefu bila kuitubia inageuka inakua uovu (udhaifu wa magonjwa au tabia).
Unapoenda kinyume na miungu ya kwenu inakuadhibu Kwa mapigo ya magonjwa, kutofanikiwa au tabia mbaya, Kwa hy ili kuituliza unatoa sadaka aina ya kafara.
Ndo maana ukipita ule mda ambao unatoa na hujatoa, ule uovu unarudi tena Kwa hy mnabid mtoe tena ili kufunika madhaifu ambayo yamejitokeza
Kama nilivyosema hapo kuna vitu utaomba kawaida kwa Mingu/miungu utapewa lakini vingine lazima utoe kafara kama aina ya sadaka ili upewe.
Lakin Kwa wa-kristo hawatumii tena kafara Bali damu ya YESU, na damu ya YESU haifunikii Bali inaondoa uovu na ndo sababu kukawa na agano jipya, Kwa sababu agano LA la kale lilikuwa katika msingi wa kutumia damu za makafara