Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
- Thread starter
- #21
unapata vitz2mil sidhani
unapata vitz2mil sidhani
WAPE MWONGOZO MKUU.
Hapana kabisa Tako la nyani (Lexus) 330 Leather seat ni milioni 30 Dola 7000Hilo tako la nyani wajapan wameshusha bei mpaka aibu
Gari SUV bei almost the same na IST
hivi lipoje hiloHilo tako la nyani wajapan wameshusha bei mpaka aibu
Gari SUV bei almost the same na IST
gari ni matoi ya watu wazima,wengine hata hawahitaji almurad mkumbo tu,na yeye aonekane yumoHapana kabisa Tako la nyani (Lexus) 330 Leather seat ni milioni 30 Dola 7000
Harrier 240 ya chini ni 17m
labda unafananisha Old Model used hapa TZ zipo mpaka za 6m zimenza kutengenezwa au kuingia 1996
Kumbuka IST zimetoka nyuma ya Harrier Old Model
Kwa hiyo IST ni 12m mpaka 9m kwa mpya na zinetengenezwa kuanzia 2002
ingia Used 2003 TOYOTA HARRIER AIRS/UA-MCU31W for Sale BG529937 - BE FORWARD
hivyo hakuna IST ya $4000
USHURU wa TRA ili kuiingiza nchini haipungui milioni 7 ya kitanzania
kwa hiyo Harrier matako ya nyani inayotembea HAIPUNGUI chini ya milioni 10
IST hata chi ya 5m
![]()
Kupatana Buy & Sell on Tanzania's #1 classifieds
Sell and buy used goods nearby - Kupatana is the best place to sell or buy new or used items in various categories like multimedia, cars, ready-to-wear, furniture… near youwww.zoomtanzania.com
nkikutwa naendesha vitz,nizikeni ningali haiunapata vitz
Hayo pia yapo mengi sanaTembelea caterpillar kuepusha kuigana
Au tukupige kidogo kidogo mpaka ufenkikutwa naendesha vitz,nizikeni ningali hai
plus na vitz muranoPremio na Crown zimetapakaa Dar nzima
Uko sahihi,utasikia mtu anatuma post,anaomba ushauri anahitaji gari yoyote isiokula mafuta,ina maana yuko tayari kuchaguliwa gari lolote kwani yeye hana choice,ilimradi tu ni gari isiokula mafuta...Tako la nyani yamekuwa mengi sana vitz ist mpaka yamekuwa kero roads azipendezi tena una weza fikili ni msafara wa harusi
sasa hivi utafikiri ni magari ya mtu mmojaTatizo hela mzee, sasa hivi gari 2mil unapata gari, na ndiyo hizo ist vitz unaona zimejazana mtaani.
Hilo tako la nyani wajapan wameshusha bei mpaka aibu
Gari SUV bei almost the same na IST