Kwanini watu wanaoa na kuolewa?

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Leo nilikuwa kwenye semina mahala. Topic hapo juu inahusika, zikiwemo ni zipi sababu nzuri na ni zipi mbaya za kuoa/kuolewa? Na pia uzuri unachukua sehem gani katika swala zima la uchumba.?
 
mungu alisema kila mtu ataacha wazazi wake na kuambatana na mke /mme wake nao watakuwa mwili mmoja.
 
^^
Endelea sasa,,kwenye semina walisemaje.
^^
 
Mimi nilifikiri umekuja kutuuliza hujui kwa nini watu wanaoa/olewa.
 
tufunze basi mlivyofunzwa....

Leo nilikuwa kwenye semina mahala. Topic hapo juu inahusika, zikiwemo ni zipi sababu nzuri na ni zipi mbaya za kuoa/kuolewa? Na pia uzuri unachukua sehem gani katika swala zima la uchumba.?
 
Mie nikajua huelewi kwanini watu wanaoa na kuolewa.......

nadhani ya kwenye Semina yanakutosha
 
^^
Endelea sasa,,kwenye semina walisemaje.
^^

Hizo ni topic tu nilizoziona. Niliingia nimechelewa na nikawahi kutoka, na leo sijaenda. Nimezipachika hapa nisikie kutoka kwa wadau wana lipi la kusema hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…