Kwanini watu wananiogopa sana?

Ni kawaida kwa watu kuogopa mateja na wavuta bangi [emoji848]
 
Mpaka boss wangu hapendi kunituma kazi za kiboya hata kama simkatalii kazi,na hajawahi kunizoea kabisa. Hata wafanyakazi wenzangu wote wananiheshimu hata kama wenyewe hawaheshimiani. Mpaka wife anaulizwa anawezaje kuishi na mimi. Hata wale walionizidi umri pamoja na majirani zangu nikisalimiana nao hujichanganya na kuniamkia. Hata malaya wanaojiuza mtaani huku wanaogopa hata kuleta shobo kwangu mimi nao wananiogopa. Kuna wakati mpaka najiogopa kwanini naogopwa?
 
Hujawah kuwa na akili hata 1
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanuka mdomo wanaogopa kuongea na wewe.
Jitahidi kunawa vzr na may be una Kikwapa kinachotema kiaina. Nahisi hivyo wanaogopa kuwa Kari u na kukuambia tena.

Tofa
 
Ok kikubwa ni kuwa huchangamani na watu hivyo, inakufanya kuwa stranger hata katika mazingira ambayo ulipaswa kuzoeleka.. Im somehow the same

Kama hata watu wasiokujua huwa hivyo bhasi una nguvu ambayo hujui kama unayo.. Maybe ni nguvu kubwa kuliko uwezo wako unavyouchukulia na pengine ukiijua ndipo utakuwa mwanzo wa kujijua zaidi (kujitilia shaka ni dalili ya kuwa hujijui vyema)..

Cha msingi tafuta kujijua na hili litakuwa rahisi kama utakaa na watu waliokuzidi kwa vitu vingi..Hii itaondoa hiyo hali ya kuwa tofauti na superior

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa hii taaluma yako Kama unaiweza na unaibobea Vizuri kama ulivyoandika hapa usisumbuke Sana kutafuta ajira.

Tengeneza tatizo kisha kalitatue. Tayari utakuwa in the system ya ajira. Jipange shindua popote. Good luck!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa hajulikani wale wale mpaka leo hawajulikani
 
Lazima kuna jibu hapo.....eti anajiona vandame
 
unatumia zile vitu mbili za Simba? ( kama hutumii una lijamaa mkuu, kauzu mnoo kama mimi, je mbwa wakikuona wanakimbia? je ushawahi kukutana na watu wakikuona wanabadili njia au ukipanda daladala kuna watu wanashuka wamechukia? mimi nilikuwa hivyo, ila mimi nilikuwa naona na wenge muda mwingine watu wanawaka moto mdomoni, ila nimepona mkuu, kuna bi mkubwa mmoja aliniambia ukitaka hayo yasikukute we fanya mambo ya kishenzi shenzi utakaa fresh...hivi niko fresh sioni wenge ila ilikuwa hata nikikutana na mbwa usiku anatoka nduki, vigagula vinabadili njia na kuna mitaa walikuwa wakinisema mtoto mdogoo ila mchawi, na kuna siku hata wife alipiga kelele usiku akisema nilimtisha, cjui nilimtisha nini...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…