Kwanini watu wananiogopa sana?

Acha ujinga ww tafuta pesa mwisho was siku utasema umetongozwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa upo poa lakini si mtu wa stori na watu. Ukiishi mazingira ya namna hiyo watu watakutafsiri upo serious sana. Matokeo yake asilimia kubwa ya watu watakuwa ni wenye kukuhofia/kukuogopa.

In short huchangamani na watu, ndipo tatizo lilipo.
 
kikazi uko Central au Mabatini ?
 
Madame jibu lako ni sahihi, nyota ya simba yani mtu anakuwa anaogopwa mpaka mke anakuogopa watoto wakikuona hata maji hawanywi ila huwa inafifia kadri umri unavyosonga ukizeeka inaisha kabisaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmm sidhani maana mi mwenyewe hivyo hivyo hata baba huniogopa hata nisiyemfahamu tukikutana anakuwa mpole
Nyota ya Ng'ombe.... 20s coming soon.
 
Je. Hii ni kwa wanao kufahamu tu ama hata ukikutana na mtu kwa Mara ya kwanza?

Je.unafanya mazoezi na mwili wako umetuna?

Unafanya kazi ya aina gani? Ulinzi ama za computers kwa maana ya kutumia?
 
Ndio wewe unaye huck acc zetu huko IG nimekupata leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naishi maisha ya kawaida kabisa. Na vile ninavyojifungia ndani hakuna anayejua kama mimi ni wakili. Hata watu ninaokutana nao njiani wananiogopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unawajua wanazengo wewe utasema wanaishi ndani kwako vile watakutajia mpaka chumba chako unacholala kikoje hapo wanakustahi tu usikute wanakuita mtu asiyejulikana mzee wa sembe wanazengo wanajua vitu vyako hata ambavyo wewe huvijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah wavulana wa leo wanashindana na Dada zao kujisifia na kujitangaza uzuri wa sura,... Kesho atakuja kujisifia makalio makubwa,... Ee Mungu wee!... Warithi wa Adamu wanapukutika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…