Basi umerushiwa" jini kuogopwa" mkuuNaishi maisha ya kawaida kabisa. Na vile ninavyojifungia ndani hakuna anayejua kama mimi ni wakili. Hata watu ninaokutana nao njiani wananiogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Tangazo lako umelileta kiana sana lazima uwadake mkuu...
Hakika tupo kwenye njia sahihi kuelekea kuwa donor country
Sent using Jamii Forums mobile app
ilitakiwa usubili kama na mimi au Heche tukukuogopa ndo ufungue uzi,Kaka zangu niliozaliwa nao tumbo moja wananiogopa sana! Kila nikijitahidi kujichekesha chekesha ili angalau wasiwe na hofu ndio nazidi kuharibu kabisa. Jinsi wanavyoongea na mimi ni kana kwamba wanajishusha na kuwa wadogo mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Superiority complex.Wasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tangazo lako umelileta kiana sana lazima uwadake mkuu...
Hakika tupo kwenye njia sahihi kuelekea kuwa donor country
Sent using Jamii Forums mobile app
basi kama ni kweli hizo ndio tabia zako na hayo ndio matokeo ya tabia ulizonazo.. kuna kundi la watu hawa wacheshi,wapenda sifa,waongeaji,wambea,wanapenda matani,wanafahamika mtaa mzima n.k- mkimya sana
- sichangamani na watu.
-napenda kukaa mwenyewe.
-napenda kusoma vitabu, kuangalia movie, na kusikiliza music.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante boss!basi kama ni kweli hizo ndio tabia zako na hayo ndio matokeo ya tabia ulizonazo.. kuna kundi la watu hawa wacheshi,wapenda sifa,waongeaji,wambea,wanapenda matani,wanafahamika mtaa mzima n.k
Tafuta mtu mmoja wa dizaini hiyo awe rafiki yako huyu atakufanya uwe social na utapata marafiki wengi lkn Tafuta mtu wa makamu yako kidogo hekima iwe kichwani mwake maana kidogo watu wa namna hiyo kama hajielewi atakukasirisha utakuwa gazeti lake la kuwapasha wengine habari.. ama tafuta watu dizaini yako mjadili vitabu n.k lkn kama unataka kuwa social lzm ujihadhari sana.. natumai unauwezo mpana wa akili basi utumie unahitaji taarifa nyingi za kwenye jamii yako ili uwe social na sifa za watu hao ndo watakusaidia hayo.
but you can't change the way your are..
Mkuu cha kukufurahisha ni kutokana na hizo tabia zako kuna aina ya wanawake ukikutana nao watakuendesha[emoji38][emoji38] hicho ni kidokezo tu.
una kitu ndani yako kinaitwa negative energy inayopelekea utoe negative vibes.Wasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂Labda wameambizana kuwa wewe ni mwehu
Na ukiuliza ndio kabisa wala usijaribu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Unaweza kuta wewe ni mzimu sema hujui tuWasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha.Wasalaam...