Kwa sababu Tigo imeozaWasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Abee,.
Nilikuwa nasubiri ile habari ya nyota ya simba, mpaka leo kimya!Abee,.
Mtafute Mshana Jr
Hata marehemu huambiwa mwema wakati yeye alikua mbaya,,,so kuambiwa wewe ni Handsome sio tatizoWasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfukoni vipi ni chenji chenji au inatosha kubadilisha mboga? Yawezekana unazitumia kuintimidate wengine. Nijuavyo from experience mlala hoi yeyote hata kama ana sura ngumu hawezi kuzua hofu ya kiwango unachoelezea.Kaka zangu niliozaliwa nao tumbo moja wananiogopa sana! Kila nikijitahidi kujichekesha chekesha ili angalau wasiwe na hofu ndio nazidi kuharibu kabisa. Jinsi wanavyoongea na mimi ni kana kwamba wanajishusha na kuwa wadogo mno!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mimi nimegraduate mwaka Jana chuo na sasa hivi niko nimeajiriwa kwenye taasisi kubwa tu nchini.MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA
Habari za muda huu kwa mara nyingine tena
Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu
Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu
naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu
Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...
Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana
Elimu yangu: Degree
Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)
Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)
Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya
》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering
》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography
》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo
》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)
》Computer Networking
》 System analysis and design
MSAADA WENU WAUNGWANA
MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA
KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU
NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY
NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO
MUNGU WABARIKI SANA
NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI
NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
Wasalaam...
Mimi ni Kijana wa early 30's, nina urefu saizi ya kati, rangi ya maji ya kunde. Kwa asili mimi ni mtu mkimya SANA.
Nimekuwa niki experience namna ambavyo watu wanajawa hofu wakiwa karibu yangu... aidha watanisalimia kwa woga na kutetemeka, au wataonyesha ishara ya kunyong'onyea.
Watoto wadogo na vijana ndio balaa kabisa, wakiniona wanatetemeka sana huku wananiamkia haraka haraka.
Hii hali inanitesa sana maana hata kazini watu wananiogopa na wakiniona wanajisikia inferior sana. Nikianza kuzungumza kila mtu anaitikia kwa hofu. Wakati mwingine najaribu kukaa mbali na watu ili wasijisikie duni!
Ni nini hiki? Sidhani kama sura yangu inatisha maana mke wangu na baadhi ya wanawake huniambia mimi ni handsome! Kwahiyo naamini sura yangu haitishi!
What is this?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huruma na uoga ni vitu viwili tofauti.Ila weye jamaa una vituko sana.Watu wanakuonea huruma unasema wanakuogopa?
Aliye ndani yangu ni nani hasa?Wanapo kuangalia hawakuoni wewe Mkuu wanaona aliye ndani yako hongera sana kama kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aiseeMtu haogopwi kwa mwonekano pekee. Huo ni uwongo, meaning you're delusional. Matendo ndiyo humfanya mtu aogopwe. Au pengine inawezekana tafsiri yako ya neno kuogopwa siyo sahihi.
Pesa zangu ndogo tu.Mfukoni vipi ni chenji chenji au inatosha kubadilisha mboga? Yawezekana unazitumia kuintimidate wengine. Nijuavyo from experience mlala hoi yeyote hata kama ana sura ngumu hawezi kuzua hofu ya kiwango unachoelezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nini?Hata marehemu huambiwa mwema wakati yeye alikua mbaya,,,so kuambiwa wewe ni Handsome sio tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app