Patamu apo! labda yeye hajawahi kuachana na mtu je? FL1 njoo hapa ujibu
Alafu mm haka katabia ka kukumbushia ninako sana hata nikienda kijijini lazima nikumbushie nikienda Chuda lazima nikumbushie nikienda Shycom lazima nikienda Mbeya lazima nitafute koloni langu la enzi hilo na tunakumbushia.
Well.. sijaelewa kwanini watu baada ya kupoteana hasa walioachana katika mazingira mazuri hujikuta wanatumia kisingizio cha "kukumbushia". Cha kushangaza mmoja wao au wote wawili wanaweza kuwa wako na wapenzi wengine au na ndoa zao!
yanipita uwezo wangu wa kufikiri.. Sasa mtu akikataa kukumbushia ndio inakuwa urafiki wenye mashaka?
bado sijakutana nae kiukweli ..lakini kama wote mnajua kila mtu yuko katika mahusiano kwanini muendelee kuombana tundi...π
Kuna wimbo mmoja wa zilipendwa uliimbwa na bendi ya JWTZ (Jeshi la Wakurya Tangu Zamani???), una kibwagizo......."tuachane kwa wema mamaa, ili tukijakutana popote pale, tusalimiane, ikiwezekana turudiane (of course siyo TUKUMBUSHIANE!!!), cha kujiuliza je, mliachana mkiwa mnapendana? Au nini kilisababisha kutengana kwenu? Kuna rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa bado anasoma sec. school, alikuwa na gf wake ambaye kuna siku alimwambia (rafikiangu), achague kusoma au waoane, jamaa akachagua kusoma!! Baada ya miaka kadhaa kupita, jamaa akiwa tayari ameoa na bibie ameolewa, walikutana na kuanza "KUKUMBUSHIA", jamaa wana miaka zaidi ya mitano BADO WANAKUMBUSHIA!!!!!
Yeah ni kweli kukumbushia muhimu na kama umeoa mke used ukae ukijua mahawala iwa hawaachani hata wakipotezana miaka 20 au 30 lazima wakumbushie penzi lao la dhamani hii haikwepeki.
kaizer swali lako lina uwalakini . haya nambie kama wewe huwa unakumbushia????? Binamu thema tu usiogope
Duh! Mpwa kumbe umesoma Shycom? π Usikute tunafahamiana! π
Mkulu,
Hongera zako,kwani kwa maneno mengine wewe Umeoa BRAND NEW au siyo?
hahahahaaaa!! mwambie hatujamaliza kuhani msoba wa MC Lema!! (dam! that a long time)Kuna wimbo mmoja wa zilipendwa uliimbwa na bendi ya JWTZ (Jeshi la Wakurya Tangu Zamani???), una kibwagizo......."tuachane kwa wema mamaa, ili tukijakutana popote pale, tusalimiane, ikiwezekana turudiane (of course siyo TUKUMBUSHIANE!!!), cha kujiuliza je, mliachana mkiwa mnapendana? Au nini kilisababisha kutengana kwenu? Kuna rafiki yangu mmoja, yeye alikuwa bado anasoma sec. school, alikuwa na gf wake ambaye kuna siku alimwambia (rafikiangu), achague kusoma au waoane, jamaa akachagua kusoma!! Baada ya miaka kadhaa kupita, jamaa akiwa tayari ameoa na bibie ameolewa, walikutana na kuanza "KUKUMBUSHIA", jamaa wana miaka zaidi ya mitano BADO WANAKUMBUSHIA!!!!!
mzee unamkumbuka MNYAMA?.....πhahahahaaaa!! mwambie hatujamaliza kuhani msoba wa MC Lema!! (dam! that a long time)
kwa hiyo mzee HAUKUMBUSHIAGI KABISA?......πIla mimi binafsi napinga huu upuuzi na ujinga. Tuweke maadili ya kiroho mbele kama kuna mapungufu kwa current lovers ni kurekebishana tu.
kwa hiyo mzee HAUKUMBUSHIAGI KABISA?......π
MZEE UNAMKUMBUKA MAUA?...ukionana nae unakumbushia?Hahahaha mpwa iwa napita pita pale si unajua tena
halafu huyo demu, hasikii wala haoni!! Jamaa naye kafa kaoza.....nimemshauri sana, lakini ni ile ya kumpigia mbuzi gitaa!!