sasa kama huna dini una busara gani??kwako wewe mwenye dini ndio mwenye busara?
dini ninayoizungumzia ni yule ambae anafuata dini yake na maandiko ya dini yake huyo ndo ataona umuhimu wa kuoa...
lakini jitu limeona zinaa kawaida tu huyo ni mpuuzi wa mwisho hata awe shekhe au padre..sisemi mtu wa kawaida