Kwanini watu tunakuwa wazito kutoa taarifa Polisi?

Kwanini watu tunakuwa wazito kutoa taarifa Polisi?

viashiria vya uhalifu vinaonekana hata wahalifu tunawajua mienendo na mipango yao.

Lakini mpaka litokee tukio, ndio utasikia..aaah wewe ulikuwa hujui?

Hivi hili jambo huwa linasababishwa na nini?

Zamani haikuwa hivi.

Hata mgeni akiingia mtaani/ kijijini, watu wote kijijini/ mtaani tulifahamu mpaka watoto wadogo walifahamu.
Siku hizi jina la mpangaji mwenzako hata hulijui,achilia mbali majirani wanaokuzunguka.

( kuna haja ya kurudisha utartibu wa zamani)
unaa taarifa.na hela za quality group.dodoma??
Unajua police.walisem
aje??

Unajua.wameitwa wahalifu ooh.no.ne.o.jepesi wameitwa wezi waliomkamata....

Na wamepongezwa kwa kuhifadhi.pesa zao ..


Na wenye.mali...


Ntarudi.tena ukiibiwa...
 
Kwa maoni ya wachangiaji hapo juu naona igp arudishe suala la polisi jamii likiwa limeboreshwa zaidi ya alivyoianzisha mtangulizi wake saidi mwema. Pia aweke mtu mmoja tu kama ni ocd au rpc tu ndio wapokee taarifa za siri za kiintelijinsia ikitokea zimevuja wao ndio wawajibike.
 
Mwakyembe alishawahi sema ... JESHI LA POLISI TANZANIA NDIYO JESHI PEKEE DUNIANI LINALOSUBIRIA KULETEWA TAARIFA....

Na hii nimeishuhudia mwenyewe. Unawapa taarifa za muharifu, wanakutaka uwaoneshe anapoishi unafanya hivyo wanakutaka uwapatie mienendo yake, mahali anapendelea kutembea muda gani, uwatafutie namba ya simu. Uwape namba ya gari, au pikipiki au bajaji unayopenda kutumia au anayotumia. Unafanya hivyo lakini bado hawafanyi lolote. Unajiuliza hivi kweli watu hawa wako serious na waharifu?
Mwanzo nilidhani wanasingiziwa juu ya utendaji wao wa kazi lakini kumbe hatuna jeshi la polisi. Usalama wako huko mikononi mwako. Linahitaji kufumuliwa na kuundwa upya hasa juu ya utendaji wake. Nadhani mazoea yamepitiliza. Lakini effects zake hazichagui, zaweza kuwapata raia na polisi pia. Mpaka hapo nitakapopata mtu serious ndo nitatoa taarifa vinginevyo ni kupotezeana muda. Au kamanda mkuu aweke namba yake tuwe nanamrushia taarifa za mienendo ya waarifu tunaowajua na mahali ambapo tumeisha report ili awe anafuatilia mwenyewe kujua nini kimefanyika au kufikiwa. Lakini hii ya kutoa ushirikiano au taarifa kisha mtu anakaa nazo haitufikishi mbali.
 
Ukiona raia wanachoma vituo vya polisi (Bunju) unapata picha kamili ya mahusiano ya polisi na raia. Lakini sidhani kama kuna polisi analiona hili. wao wanajua mtuhumiwa ni mtaji wa bia. Mdogo wangu alillalamikiwa na jirani kwamba alitaka kuwapiga watoto wa jirani, lakini hakuwagusa, aliwekwa ndani, eti kumtoa mtu wa malalamiko ya mtaani ambayo yanamalizwa na mjumbe/familia ni sh elfu kumi. Hili ni jeshi shenzi.

Hawa ndiyo policeCCM, wameweka tumbo mbele kuliko uwajibikaji!! Vituo vya police vyote Ni sehemu ya kukusanya mapato kama TRA. Huna hela, upati huduma..... Police wacheni njaa jamani hivi hampati mshahara???? Wako uweke mwisho wa mwezi, wangu nikugaie!!!
Mtakufa kama njugu, naomba jambazi azidishe juhudi za kukuangamiza hata akija kunizuru nami hamna neno maana kashaanza na police
 
Back
Top Bottom