Kwanini watu hutoka nje ya ndoa zao?

Kwanini watu hutoka nje ya ndoa zao?

Kwasababu ya tamaa inayosababishwa na ulaji nyama.Maana wanafikiri kuwa wakiwa wawili watafaidi sana kula kuku,mbuzi na hata starehe nyinginezo zinzoambatana unywaji,matembezi na kulala bila usumbufu wa kelele za watoto usiku.

Sababu zipo nyingi na nyingine ni ubinafsi,kupata nafasi nzuri ya pesa na vitu vya thamani vinvyowafnya kuwa na hulka ya kujionesha kwa wenzao ambako huko huko ndiko anakutana na nyumba ndogo ama suga mami/shuga dadi n.k
 
Sorry for them lol.. As what they are doing is not a solution of what is happenning in their marriage.

Dawa ya tatizo ni kutatua na sio kulikimbia.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"Kwanini watu hutoka nje ya ndoa zao" ??
A%20S%20angry.gif

Ebooo! si milango iko wazi!
Ajitokeze mwenye ndoa ambaye milango yake imefungwa kama yupo hata mmoja!
Subutu yake!!!!!! Ndo maana 47% ya wana ndoa ni HIV+
Chezea dushelele na kibobo weye.
Hizi takwimu kwenye nyekundu zinahitaji mjadala!
 
Tatizo kubwa ni wanawake kutembea uchi mabarabarani, mabaa kila kona, guest kila uchochoro, wanawake kuwa rahisi sana kuwapata na kukosekana kwa adhabu kwa wazinifu
 
Mi sijafurahia comment yako ila hiyo like aliyokugongea neggirl. Hii inamaanisha binti huyu ni muumini mwenzangu. Sasa acha umbea, usimwambie mtu.

Nimekumisije unajua Kaunga?

Hahaha, neggirl njoo ucomment; maana Asprin kakutambua kirahisi sana.
Mimi pia; umeadimika sana au ndio January hiyo!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, neggirl njoo ucomment; maana Asprin kakutambua kirahisi sana.
Mimi pia; umeadimika sana au ndio January hiyo!
Yeah.... I hate Januaries...! Lakini, anyway.....

..........When you run out of rope; grab onto faith..........
 
hapo ulipokutana nao ndio ungewauliza, au nawe ulikuwa na mpango kando wako? teh teh teh....
 
(1) Sababu kubwa ni kutokumuongopa Mungu, kutokuwa na hofu ya Mungu.
(2) Ndoa iliyotokana na madawa kama limbwata au ushirikina wa aina yoyote dawa zikiisha nguvu ndio mambo hayo hutokea.
(3) Ndoa iliyotokana na shinikizo la wazazi upendo haupo kamili.
(4) Ndoa iliyotokana na tamaa sababu ya mtu kuwa na pesa, pesa zikiisha ndiyo hivyo tena.
(5) Kutamani kupata kazi bila kuwa na sifa stahiki, waajiri ni rahisi kuomba rushwa ya ngono.
(6) Tamaa ya kuwa na vitu vizuri wakati mtu huna uwezo, wanawake mara nyingi huwa wanapenda kushindana hapo ndipo wanapokutana na wanaume wakware wenye mihela ya kuchezea.
(7) Wanandoa kutokutimiziana kimwili na kutokuwa wazi kudai haki ya kutimiziwa, yaani kufikishwa kileleni.
Haya yote yanaweza kusababisha mwanandoa asiye na hofu ya Mungu kutembea nje ya ndoa yake.

ni sawa lakini kuna wengine haya yote hawana lakini bado wanatokaaa!!! yaan swala la kutoka nje ya ndoa kwa wanaume au wanawake litabaki kuwa ambiguit,. hakuna mwenye jibu sahihi kwani hii ni hulka ya mtu tu,mwingine ana mke/mume mzuri, wanaridhisana sana, wana mali na wanapendana kwa dhati lakini utashangaa mmoja wao anacheat why?? unakuta ni tabia tu ya mtu hata ukimuuliza hawez kukupa jibu zaid ya NILIPITIWA TU,.hata hao viongozi wa kidini wenye hofu ya Mungu bado wanafumaniwa tu,.hili suala bwana halina formula ya kulizuia zaid ya kumwomba Mungu akuepushie na magonjwa na moyo wenye hekima na busara pindi linapokupata ili kuinusuru ndoa yako.
 
Ni silika ya kiume zaidi ku conquer wanawake hata bila sababu maalum. Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume aliyezaliwa anajua kupenda. Kwa wanaume kupenda kunahitaji training. Kwa mwanaume mkweli kila mara wanaposema wamempenda humaanisha wamempenda waliyemwona kwa wakati huo. Beauty huwachanganya sana wanaume kwasababu iko subject to change pindi anapotokea mwenye sifa za ziada. Ni suala la kile ambacho John Eldredge anakiita the wild heart of a man. It is a huge subject lakini kwasasa take hizo glimpse tu kwa kuanzia
 
Hahaha, neggirl njoo ucomment; maana Asprin kakutambua kirahisi sana.
Mimi pia; umeadimika sana au ndio January hiyo!

huyu mzee wa mjini ananichekesha lol.. Nipo sana mydia, wee hunioni tuu! babu Asprin mimi sio muumini wa hayo makitu kabisaaaa (mipango ya kando) usinisingizie binti wa watu... akuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee wa mjini ananichekesha lol.. Nipo sana mydia, wee hunioni tuu! babu Asprin mimi sio muumini wa hayo makitu kabisaaaa (mipango ya kando) usinisingizie binti wa watu... akuuuuuuuu
Mbona hujibu PM yangu, au ushaanza woga?
 
Back
Top Bottom