kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,116
Wakati mwngine inatokea mtu yuko mbali na wazazi pia hajashinikizwa kuoa na tena hajatia mimba lkn anakurupuka within a day anaoa...hii ipo vipi mkuuKuna mambo mawili hapo.
Kuoa usiye mtarajia na kuoa Muda ambao hukutarajia kuoa.
-mimba
-pressure kutoka kwa wazazi n.k
Kulostishwa na uliyemtegemea na ulikuwa naye kwa muda mrefu na umri unakwenda unaamua First in First servedSababu ni nyingi, nitakudondolea chache
1. Kukutana na mwanamke/mwanaume mwingine mwenye sita za ziada kuliko mpenzi wako wa muda mrefu
2. Natural causes Kama kifo
3. Shinikizo kutoka kwa wanafamilia
4. Upande mwingine kutokuwa tayari kwa ndoa
5.Hali ya uchumi
6.
Na hii ndio sababu kubwa zaidi .....Kulostishwa na uliyemtegemea na ulikuwa naye kwa muda mrefu na umri unakwenda unaamua First in First served
Ah ah ah ah sasa mzazi atakupa pressure ipi ya kuoa. Ww si ndio unakaa na mwanamke?Kuna mambo mawili hapo.
Kuoa usiye mtarajia na kuoa Muda ambao hukutarajia kuoa.
-mimba
-pressure kutoka kwa wazazi n.k
Mm wanaume hapo tuu mnanishangaza. Utaoaje sababu ya mimba? Kama humpendi mtu unaoa tu hata humpendi huko ni kuidhulumu nafsi. Yaan kuna mtu anataka fanya hiyo mistake ameniudhi sana. Sababu hata akioa huyo mwanamke atachepuka tuu. Atlst tuwe honest sababu hata Mungu anaelewaKuna mambo mawili hapo.
Kuoa usiye mtarajia na kuoa Muda ambao hukutarajia kuoa.
-mimba
-pressure kutoka kwa wazazi n.k
Kufanya revenge kwa X wako. Unajikuta unaoa au unaolewa. Sasa ngoja akili irudi ktk normal state uhiii utamuona huyo mtu mbaya balaaSababu ni nyingi, nitakudondolea chache
1. Kukutana na mwanamke/mwanaume mwingine mwenye sita za ziada kuliko mpenzi wako wa muda mrefu
2. Natural causes Kama kifo
3. Shinikizo kutoka kwa wanafamilia
4. Upande mwingine kutokuwa tayari kwa ndoa
5.Hali ya uchumi
6.
kwa hiyo hata sisi tuliochelewa kuoa , ni mungu ndo amepanga tuchelewe kuoa ?Mwenyezi mungu anandika nani aolewe na nani,kama mwanamke/mwanamme ni rizk yako muowane basi hata mkutane leo baada ya week unaweza kuolewa na kama hukuandikiwa hata uishi nae miaka20 hakuowi hata ufanyeje...
To add more Money.. Kwa wale some.who wants kuoa/ kuolewa sababu mwenzi anazo mali.. Haswa some women.. Thanks..Kuna mambo mawili hapo.
Kuoa usiye mtarajia na kuoa Muda ambao hukutarajia kuoa.
-mimba
-pressure kutoka kwa wazazi n.k