Mkuu Pombe kali na Bia si unajua madhara yake zikizidi kipimo aisee...ndio maana soft drinks zinakuwa recommendedWaungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,,
Imekuwa ni kawaida sana kila ukienda katika kumbi za sinema kukuta bisi (pop cone) ndio kama official food huko pamoja na soda,,
Swali ninalojiuliza ni kwanini hakuna chakula kingine tofauti kama nyama na samaki,,? Au kinywaji tofauti na soda kama bia au pombe nyingine kali,,?
Kwanini pop cone na cinema,,?
Si wanajua wanadanganywa!! we ushaona Popcorn a.k.a. bumunda ina ukweli wowote? coz imejaa jaa tu kumbe hewa tupu.Waungwana nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hili na leo nimeona bora niwashirikishe na great thinkers wa JF nipate kuelewa zaidi mimi na wengine hasa wafata mkumbo,,