NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
Wakati yeye ndiye anatakiwa kushukuru sana kuliko hata mzazi lakini ni kinyume chake unapeleka zawadi simu anapigiwa mtoto wao asante tumepata mzigoYaani,unakuta umejipinda uwanunulie zawadi,yeye anaichukulia poa,hata asante inakuwa ngumu kuitoa,alafu mama mzazi ndo anasema asante ukisitisha kumpa maneno,jamani yataka moyo kuishi na watu wasiojua kushukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekumiss.Poa.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sasa mkuu huyu wangu wa kipekee,hata mtoto wake hampigii[emoji2]Wakati yeye ndiye anatakiwa kushukuru sana kuliko hata mzazi lakini ni kinyume chake unapeleka zawadi simu anapigiwa mtoto wao asante tumepata mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakushukuriwa ni Mungu we unataka sifa.Wakuu,
Kuna ndugu yangu yupo mkoa, Mara nyingi huwa ananiomba ela na ananililia shida kweli kweli na mimi huwa najitaidi kumtimizia.
Cha kushangaza kila nikimtumia pesa kwenye tigopesa huwa hasemi asante. Sasa mimi huwa najiuliza huyu ananichukuliaje, kwasababu huwa naangaika ili nimtumie kwa wakati lakini hajawai kushukuru.
Kwa kweli nimeapa simtumii pesa tena
[emoji15] [emoji15] [emoji2] [emoji2]Nilikutana na mzee mmoja kapinda, nikamuuliza uchochoro wa kuelekea nilikokuwa nataka kwenda, akanionesha. Nilivyoshukuru akaniambia: "kumbe ww mstaarabu, njia sahihi kuelekea unakokwenda ni hii, huko nilikokueleza mwanzo siko". Toka siku hiyo nikajifunza kushukuru, sasa nashukuru hata nikimaliza kupiga papuchi. 😛😛🙂
Na kwenye koma hauwanzi na herufi kubwa ndio maana akamchanganya Salt.Taja mkoa kabla hatuja comment, tabia hiyo huenda na location
Wakuu,
Sasa mimi huwa najiuliza huyu ananichukuliaje, kwasababu huwa naangaika ili nimtumie kwa wakati lakini hajawai kushukuru. Kwa kweli nimeapa simtumii pesa tena
Wako kazidi sasa, wangu inakuwa kama snura apigwe mwingine yy alipwe fidia
Wewe unamjua Mungu kama usipo mshukuru unaye muona je huyo ambaye huna uhahika kama utafika kwake je! Yeye mwenyewe anasema mpende jirani yako kama unavyojipenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wako kazidi sasa, wangu inakuwa kama snura apigwe mwingine yy alipwe fidia
Sent using Jamii Forums mobile app