Mkuu mkoa wa Mara au ulikusudia kuuliza mini?
Kuna ndugu yangu yupo mkoa, Mara nyingi huwa ananiomba ela na ananililia shida kweli kweli na mimi huwa najitaidi kumtimizia.
huyu ni wa kike ishi nae kwa umakini maana ni wadhaifuSoma uelewe kwanza kuliko kukimbilia kucomment tu, mleta mada hajasema huyo ndugu yake yupo mkoa wa Mara,ila amesema yupo "mkoa" "mara nyingi hua ananiomba ela..." hilo neno mara limetumika kama "more than once" na sio kama jina la mkoa.
umeanza kuonesha udhaifu wa kike soma vizuri hamanishi mkoa wa maraWatu wa Mara na ahsante wapi na wapi?!?
Kuomba tu hawaombi utasikia "nipe, nataka"
Fallacy of generalization!Watu wa Mara na ahsante wapi na wapi?!?
Kuomba tu hawaombi utasikia "nipe, nataka"
Jf ni nouma [emoji1] [emoji1]Nilikutana na mzee mmoja kapinda, nikamuuliza uchochoro wa kuelekea nilikokuwa nataka kwenda, akanionesha. Nilivyoshukuru akaniambia: "kumbe ww mstaarabu, njia sahihi kuelekea unakokwenda ni hii, huko nilikokueleza mwanzo siko". Toka siku hiyo nikajifunza kushukuru, sasa nashukuru hata nikimaliza kupiga papuchi. 😛😛🙂
Jamani mi mama mkwe wangu ndo type hiii,hata ujisacrifice vp,huwezi msikia anasema asante.Nadhani ni aina ya maisha ambayo mtu anakuwa ameishi kuna wengine hawajuagi hata ahsante inatumika wapi na wakati gani
Japokuwa mi pia huwa nachukia sana yaani unaweza mtumia mtu hela hawezi kupiga kukwambia ahsante mpaka umuulize na hata ukimuuliza bado hatokwambia ahsante zaidi ya kusema nimeshaipata.
Wanakera sana watu wa hivyo. Ila saa nyingine hatuna jinsi mumy. Inabidi kuwapa tu ili kuepusha malawama yasiyo na msingi.Jamani mi mama mkwe wangu ndo type hiii,hata ujisacrifice vp,huwezi msikia anasema asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndioo,usipompa malawama kibaoWanakera sana watu wa hivyo. Ila saa nyingine hatuna jinsi mumy. Inabidi kuwapa tu ili kuepusha malawama yasiyo na msingi.
Umeonaeee. Ila inakatisha moyo kwa kweli.
Lindi na mtwara ndiyo zaoHiyo ni tabia ambayo mtu akuwa nayo toka utoto wake, huku kwetu kusini hasa Mkoa wa Lindi hiyo tabia ipo sana yaan kutoa neno asante ni nadra.
Anajua nihaki yake kupewaJamani mi mama mkwe wangu ndo type hiii,hata ujisacrifice vp,huwezi msikia anasema asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani,unakuta umejipinda uwanunulie zawadi,yeye anaichukulia poa,hata asante inakuwa ngumu kuitoa,alafu mama mzazi ndo anasema asante ukisitisha kumpa maneno,jamani yataka moyo kuishi na watu wasiojua kushukuru
Tena moyo ule mgumuu haswaaaaUmeonaeee. Ila inakatisha moyo kwa kweli.
Cha muhimu mumy ni kuwazowea tu mana hakuna namna.Yaani,unakuta umejipinda uwanunulie zawadi,yeye anaichukulia poa,hata asante inakuwa ngumu kuitoa,alafu mama mzazi ndo anasema asante ukisitisha kumpa maneno,jamani yataka moyo kuishi na watu wasiojua kushukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na moyo mwepesi utaishia kuto kuwapa tena na huo ndio unakuwa mwanzo wa malawama yasiyokwisha.
emmyta mambo?Cha muhimu mumy ni kuwazowea tu mana hakuna namna.
Ila kiukweli ahsante ina nafasi jamani mana inapotolewa hata nawe mtoaji unafarijika.