Well, inategemea na malezi ya mzazi (kuna wa nje ya ndoa ambao wanalelewa na baba alone pia). Lakini nurturing ya mzazi inasaidia, japo aisee genetic factor imahusika! Manake kuna mwenza unakuta ni kiazi cherema, so mtoto inabidi uvute na winch, mweh!