ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,814
- 60,685
Kwenye bajeti hakuna sehemu iliyo zungumzia ajira mpya kabisa [emoji848][emoji848]
Nitajie changamoto mbili zilizopo kwenye jamii unayoishi wewe ambazo zinaweza kuwa fursa kwa vijana kujiajiri ambazo zinahitaji mtaji mdogo ambao kijana asiye na kipato anaweza kumudu.Siyo kazi ya serikali pekee kutoa ajira kwa wananchi. Bali ni wajibu wa wananchi kutengeneza ajira ili kuisadia serikali kutoa ajira.
Wasomi ndiyo mnatuletea shida nchi hii. Mmepewa mikopo na serikali mkasoma halafu mnataka serikali huyo hiyo iwape na ajira? Duuh!!
Mlienda kusoma ili muwe wajinga? Mbona hamtatui changamoto ktk jamii, badala yake ninyi ndiyo changamoto kwa jamii?
Mkuu mimi na bibi yangu Mpitimbi hatujawahi kutaafuta kitu kinaitwa ajira. Tinalima na kufuga kwa gharama sifuri kqbisa hapa kijijini.Nitajie changamoto mbili zilizopo kwenye jamii unayoishi wewe ambazo zinaweza kuwa fursa kwa vijana kujiajiri ambazo zinahitaji mtaji mdogo ambao kijana asiye na kipato anaweza kumudu.