Kwanini Watanzania wengi hawasomi vitabu?

Au chukua kitabu art of war by sunz afu apply technic zake ktk maisha ya kitanzania uone km kitakusaidia kuwashinda maadui ktk maisha yako

Mi ni msomaji mzr tu wa vitabu ila nilikuja gundua vitabu ving haviendani na mazingira yetu yan unasoma kupata knowledge lakin knowledge yenyewe haikusaidii chochote ktk maisha harisi ya kitanzania

Ni km kujifunza mambo ya hisa ndio uko dunian watu wanatajirika na wanaishi kwa kutegemea faida ya hisa alizowekeza sasa tuje kibongo bongo apa nunua hisa afu uone ni hasara tu
Naongea haya sabu najua mm ni mmiliki wa hisa za CRDB leo ni mwaka wa 10 ila sijawai ona faida ya hisa zangu za crdb labda nafaidika tu kuhuzuria vikao vyao na sherehe zao kwenye mahotel makubwa ila tofauti na apo sjawai ona pesa ya maana iliyoingia kwa acc yangu kutokana na mm kuwekeza hisa kwa zaidi ya 7/10 yrs
Mimi nakitumia kitabu cha Art of war hasa kuamua mtu huyu kugombana nae au nimpotezee na kujipanga kabla ya kugombana. NOTE; kugombana sio kupigana ngumi, sio kugombana huko. Mwisho, nakubaliana nawe kua ni ngumu kutumika kwenye mazingira yetu na huo ni kutokana waandishi wa kule wanaandika kutokana na maeneo ya kule ambapo tumetofautiana sana kweny uchumi tungesema "misappropriation of model" japo kuna vitabu vingi vinasaidia kwa mfano vya history etc
 
Au chukua kitabu art of war by sunz afu apply technic zake ktk maisha ya kitanzania uone km kitakusaidia kuwashinda maadui ktk maisha yako

Mi ni msomaji mzr tu wa vitabu ila nilikuja gundua vitabu ving haviendani na mazingira yetu yan unasoma kupata knowledge lakin knowledge yenyewe haikusaidii chochote ktk maisha harisi ya kitanzania

Ni km kujifunza mambo ya hisa ndio uko dunian watu wanatajirika na wanaishi kwa kutegemea faida ya hisa alizowekeza sasa tuje kibongo bongo apa nunua hisa afu uone ni hasara tu
Naongea haya sabu najua mm ni mmiliki wa hisa za CRDB leo ni mwaka wa 10 ila sijawai ona faida ya hisa zangu za crdb labda nafaidika tu kuhuzuria vikao vyao na sherehe zao kwenye mahotel makubwa ila tofauti na apo sjawai ona pesa ya maana iliyoingia kwa acc yangu kutokana na mm kuwekeza hisa kwa zaidi ya 7/10 yrs
umeongea vyema,.....🙏🙏
 
Mkuu mimi ni mdau wa vitabu kama itawezekana naomba nitumie vitabu ambavyo uko navyo nipate faida na mimi.

Nilikuwa na kitabu kinachoitwa "THE TIMELESS SECRET OF HEALTH AND REJUVENATION" ila sikiona naomba nitumie hizo nondo nyingi nyingi
anza na hiki ukimaliza uta ni pm
 
Attachments

ni vitabu vichache sana vyenye maana,....
 
Jana kuna mtu alikuwa analalamika kwamba Watanzania wanapenda sana kusema habari hasi wakati habari chanya zipo pia hawazisemi.

Nilimwambia nyumba ikiwa inaungua, ukisema watu wasiseme nyumba inaungua kwa sababu wanaweza kusema nyumba ina rangi nzuri ni misplaced priorities.

Ni kweli watu wengi hawasomi, lakini nataka kuwapa moyo wanaojali kuwa tunaosoma tupo.

Kwa niaba ya Watanzania wote wanaosoma, na post picha za vitabu vya sehemu ndogo tu ya maktaba yangu ya nyumbani kuonesha tupo tunaosoma.

20241220_093202.jpg
20241220_092535.jpg
20241220_092449.jpg
20241220_095340.jpg
20241220_092309.jpg
 
Mkuu mimi ni mdau wa vitabu kama itawezekana naomba nitumie vitabu ambavyo uko navyo nipate faida na mimi.

Nilikuwa na kitabu kinachoitwa "THE TIMELESS SECRET OF HEALTH AND REJUVENATION" ila sikiona naomba nitumie hizo nondo nyingi nyingi
Kuna nyuzi nyingi humu watu wameshare vitabu vya aina mbali mbali. Labda Kama wewe ni mgeni humu.
 
Habari ndugu zangu,

Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu suala la usomaji wa vitabu hapa nchini kwetu Tanzania.

Inaonekana kama watu wengi, hasa vijana, hawachukui muda kusoma vitabu vya maarifa, historia, au hata hadithi za kuburudisha.

Je, hii inatokana na:

1. Ukosefu wa muda?

2. Gharama ya vitabu kuwa juu?

3. Kukosekana kwa utamaduni wa kusoma vitabu toka utotoni?

4. Teknolojia kama simu na mitandao ya kijamii kuchukua nafasi?

Ni wakati mzuri tujadili hili. Unafikiri tunaweza kufanya nini kuboresha hali hii? Je, kuna mbinu au programu zinazoweza kutusaidia kuhamasisha watu kupenda kusoma?

Tafadhali toa maoni yako. Ningependa sana kusikia mawazo ya kila mtu.

Hii inaweza kuwa njia nzuri ya kuanzisha mjadala wa kina na wa maana kwenye kundi unalopanga kuchapisha.
Shile TZ ni jambo la kisheria, hivyo mtu akimaliza ndio basi vitabu anatipa kule.
Hadi walimu wana ufahamu mdogo sana wa mambo ila ndio jamii inawategemea wabadili fikra za watoto wakati 2ao tu hawasomi vitabu.
Suala la gharama sio kweli kwa sababu sasa hivi pdf za gharama ya bando unapata.
kuna podcast, aodio books, kuna AI books translator. Kwa hio upatikanaji ni rahisi ila tunapenda umbea na kujifanya tupo 'busy, but busy for nothing '.
 
Habari ndugu zangu,

Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu suala la usomaji wa vitabu hapa nchini kwetu Tanzania.

Inaonekana kama watu wengi, hasa vijana, hawachukui muda kusoma vitabu vya maarifa, historia, au hata hadithi za kuburudisha.

Je, hii inatokana na:

1. Ukosefu wa muda?

2. Gharama ya vitabu kuwa juu?

3. Kukosekana kwa utamaduni wa kusoma vitabu toka utotoni?

4. Teknolojia kama simu na mitandao ya kijamii kuchukua nafasi?

Ni wakati mzuri tujadili hili. Unafikiri tunaweza kufanya nini kuboresha hali hii? Je, kuna mbinu au programu zinazoweza kutusaidia kuhamasisha watu kupenda kusoma?

Tafadhali toa maoni yako. Ningependa sana kusikia mawazo ya kila mtu.

Hii inaweza kuwa njia nzuri ya kuanzisha mjadala wa kina na wa maana kwenye kundi unalopanga kuchapisha.
Hata hii thread tu imekimbiwa😅😅
 
Vitabu hard copies na soft copies vimejaa tena hivi soft copies ndiyo vinapatikana katika intaneti unaweza kusoma kwa kutumia vifaa vyote vya TEHAMA

Nadhani kusoma kuna ile dhana ni kama unajitayarisha kwa mtihani au upo shule na chuo hivyo tukimaliza hatua hizo hatutaki tena kusoma kwani inatukumbusha shule kumbe siyo kweli vitabu ni hazina ya maarifa, burudani na udadisi mbalimbali zaidi ya tuliyokuwa tunasomeshwa shule.
Vitabu vingi sana vizuri kama nyakati hizi za tech vimejaa Mtandaoni bure kabisa.
 
Nimeletewa wiki hii.

"Africa, Magufuli and Change : An Integrated Approach in Abolishing Africa's Modern Economic Slavery".

20241221_092703.jpg
 
Au chukua kitabu art of war by sunz afu apply technic zake ktk maisha ya kitanzania uone km kitakusaidia kuwashinda maadui ktk maisha yako

Mi ni msomaji mzr tu wa vitabu ila nilikuja gundua vitabu ving haviendani na mazingira yetu yan unasoma kupata knowledge lakin knowledge yenyewe haikusaidii chochote ktk maisha harisi ya kitanzania

Ni km kujifunza mambo ya hisa ndio uko dunian watu wanatajirika na wanaishi kwa kutegemea faida ya hisa alizowekeza sasa tuje kibongo bongo apa nunua hisa afu uone ni hasara tu
Naongea haya sabu najua mm ni mmiliki wa hisa za CRDB leo ni mwaka wa 10 ila sijawai ona faida ya hisa zangu za crdb labda nafaidika tu kuhuzuria vikao vyao na sherehe zao kwenye mahotel makubwa ila tofauti na apo sjawai ona pesa ya maana iliyoingia kwa acc yangu kutokana na mm kuwekeza hisa kwa zaidi ya 7/10 yrs
The art of war ni kitabu practical sana na kinaendana na mazingira yote. Kama hakiendani na mazingira ya Tanzania basi hakiendani na mazingira yoyote yale, maana kiliandikwa miaka mingi kabla ya Yesu kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom