Kwanini Watanzania wengi hawasomi vitabu?

Ukweli ni kuwa kuna vitabu vichache vizuri vya kiswahili. Na afadhali ya zamani kulikuwa na vitabu vizuri.
 
Jana kuna mtu alikuwa analalamika kwamba Watanzania wanapenda sana kusema habari hasi wakati habari chanya zipo pia hawazisemi.

Nilimwambia nyumba ikiwa inaungua, ukisema watu wasiseme nyumba inaungua kwa sababu wanaweza kusema nyumba ina rangi nzuri ni misplaced priorities.

Ni kweli watu wengi hawasomi, lakini nataka kuwapa moyo wanaojali kuwa tunaosoma tupo.

Kwa niaba ya Watanzania wote wanaosoma, na post picha za vitabu vya sehemu ndogo tu ya maktaba yangu ya nyumbani kuonesha tupo tunaosoma.

View attachment 3180976View attachment 3180981View attachment 3180983View attachment 3180985View attachment 3180987
Huo muda wa kusoma hivyo vitabu unautoa wapi?
Mimi nina masaa 24 kwa siku, wewe una masaa mangapi?
 
Saa hizo hizo 24 unasoma vitabu ukitaka.

Ni suala la interest

Kuna muda unaweza kuutumia kufanya vitu zaidi ya kimoja, mfano ukiwa kwenye safari kwenye basi, treni ndege au boti umepata kiti, unaweza kutumia muda huo kusoma. Ukiwa unasubiri appointment ya daktari au uko ofisi za watu unangojea kufikiwa, unaweza kusoma.

Saa 1 ya kusafiri ukiitumia kusafiri na kusoma hapo utakuwa umefanya vitu vya saa 2 ndani ya saa 1. Umesafiri kwa saa 1, lakini pia, umesoma kitabu kwa saa 1.

Siku ya masaa 24 lakini ndani ya hiyo siku unaweza kufanya mambo ya zaidi ya masaa 24, parallelly.

Kuna vitabu unaweza kuvimaliza hata kwa masaa machache tu.

Jana nimeona kuna kitabu unaweza kusoma kwa masaa matatu. That is just two footbal matches.

Siku hizi kuna mpaka audiobook kwa mtu ambaye anataka kusikiliza kitabu kinasomwa huku anafanya kitu kingine kama mazoezi au kuendesha gari.

Pia si lazima usome vyote, na si vyote vinatakiwa kusomwa mwanzo mpaka mwisho, vingine ni for reference, na hata unavyoanza kusoma si lazima kumaliza, vingine unaweza kuanza kusoma ukaona hiki hakifai ukaacha, ila kusoma muhimu.

Mwezi huu wa December tu nimemaliza kusoma vitabu vitatu

1. "Nexus: A Brief History of Information Networks from the Stone Age to AI" by Yuval Noah Harari.

2. "The Burning Earth: An Environmental History of the Last 500 Years" by Sunil Amrith

3. "The Achilles Trap: Saddam Hussein, the C.I.A., and the Origins of America's Invasion of Iraq" by Steve Coll.

Na kabla ya mwaka mpya namaliza kingine cha nne.

So niki average 4 books a month, that's 48 books a year.

Na hivi ni vitabu vikubwa, vitabu vidogo naweza kusoma zaidi ya 48 kwa mwaka.

Halafu baada ya kusoma kitabu cha a multiple Pulitzer prize winner na kuabsorb heavily researched informatio unakuja hapa JF unabishana na mtu anayesema the earth is flat!
 
Mkuu nimeona makala mbalimbali kuhusu "the shape of the earth" vp maoni yako kwenye hili suala
 
Suala gani sasa, umesema umeona makala mbalimbali, kuna flat earth theory mimi hata muda wa kuijadili sina.

Katika vitu nilivyokataa kuvijadili ni flat earth. Yani nikitaka kukitukana kitu kuwa ni cha kijinga kabisa, nakiita hiki ni "sawa na flat earth theory".

It is just not worth my time. Na mtu akitaka kung'ng'ania habari hizo nakubali tu huyo pengine ni mjinga kuliko kiasi cha uwezo wangu wa kumuelimisha mtu.
 
Okay kiongozi nilitka kupata maoni yako tu, sometimes mtu unashindwa kuamini which is true kwasababu huyu analeta fact zake na mwingine fact zake, sometimes unaziona kama conspiracy theories
 
Mkuu,

Nakuelewa. Sina nia ya ku dismiss kirahisi kitu chochote kuwa ni "conspiracy theory".

Kuna kitabu nimetoka kusoma mwaka huu kinaitwa "Viral: The Search for the Origin of COVID-19" by Alina Chan and Matt Ridley. Somo kubwa la kitabu hiki ni wanasayansi kutodharau mambo na kuyaita "conspiracy theory" kirahisi. Kitabu kimechambua kwa undani sana dhana ya kwamba Covid-19 ilianzia kwenye laboratories za Wuhan China, jambo ambalo awali lilionekana kama conspiracy theory tu, lakini kadiri watu walivyofanya uchunguzi zaidi, ikaonekana kuwa kuna ushahidi mwingi sana unaoonesha kuwa jambo hilo linawezekana kuwa kweli na si suala la conspiracy theory tu.

Kwa hiyo, sina nia ya ku dismiss kitu kirahisi na kukiita conspiracy theory, najua madhara ya kufanya hivyo.

Ila, kuna mambo mengine kama flat earth hayana mantiki na hayo kuyakataa ni sawa tu.
 
Acha vitabu, hàta mabango ya barabarani hawasomi. Mtu anauliza mtaa huku kashika bango lililoandikwa jina la mtaa anaouliza.
Angalia matangazo mtandaoni yameandikwa Bei ila watu kwenye comments kila mmoja anauliza bei ya hiyo bidhaa.
Hata msg watu hawataki kusoma
 
Saa hizo hizo 24 unasoma vitabu ukitaka.

Ni suala la interest

Kuna muda unaweza kuutumia kufanya vitu zaidi ya kimoja, mfano ukiwa kwenye safari kwenye basi, treni ndege au boti umepata kiti, unaweza kutumia muda huo kusoma. Ukiwa unasubiri appointment ya daktari au uko ofisi za watu unangojea kufikiwa, unaweza kusoma.

Saa 1 ya kusafiri ukiitumia kusafiri na kusoma hapo utakuwa umefanya vitu vya saa 2 ndani ya saa 1. Umesafiri kwa saa 1, lakini pia, umesoma kitabu kwa saa 1.

Siku ya masaa 24 lakini ndani ya hiyo siku unaweza kufanya mambo ya zaidi ya masaa 24, parallelly.

Kuna vitabu unaweza kuvimaliza hata kwa masaa machache tu.

Jana nimeona kuna kitabu unaweza kusoma kwa masaa matatu. That is just two footbal matches.

Siku hizi kuna mpaka audiobook kwa mtu ambaye anataka kusikiliza kitabu kinasomwa huku anafanya kitu kingine kama mazoezi au kuendesha gari.

Pia si lazima usome vyote, na si vyote vinatakiwa kusomwa mwanzo mpaka mwisho, vingine ni for reference, na hata unavyoanza kusoma si lazima kumaliza, vingine unaweza kuanza kusoma ukaona hiki hakifai ukaacha, ila kusoma muhimu.

Mwezi huu wa December tu nimemaliza kusoma vitabu vitatu

1. "Nexus: A Brief History of Information Networks from the Stone Age to AI" by Yuval Noah Harari.

2. "The Burning Earth: An Environmental History of the Last 500 Years" by Sunil Amrith

3. "The Achilles Trap: Saddam Hussein, the C.I.A., and the Origins of America's Invasion of Iraq" by Steve Coll.

Na kabla ya mwaka mpya namaliza kingine cha nne.

So niki average 4 books a month, that's 48 books a year.

Na hivi ni vitabu vikubwa, vitabu vidogo naweza kusoma zaidi ya 48 kwa mwaka.

Halafu baada ya kusoma kitabu cha a multiple Pulitzer prize winner na kuabsorb heavily researched informatio unakuja hapa JF unabishana na mtu anayesema the earth is flat!
I am inspired!

Mkuu! Binafsi ni mpenzi sana wakusoma vitabu, lakini sometimes napata shida, nasahau some information nilizosoma kwenye kitabu.

Swali langu linakuja, ni kwanamna gani unaweza absorb too much information bila ya kusahau? Je kuna techniques au ni umezaliwa hivyo, au sisi wengine tuna low IQ😁
 
Saa hizo hizo 24 unasoma vitabu ukitaka.

Ni suala la interest

Kuna muda unaweza kuutumia kufanya vitu zaidi ya kimoja, mfano ukiwa kwenye safari kwenye basi, treni ndege au boti umepata kiti, unaweza kutumia muda huo kusoma. Ukiwa unasubiri appointment ya daktari au uko ofisi za watu unangojea kufikiwa, unaweza kusoma.

Saa 1 ya kusafiri ukiitumia kusafiri na kusoma hapo utakuwa umefanya vitu vya saa 2 ndani ya saa 1. Umesafiri kwa saa 1, lakini pia, umesoma kitabu kwa saa 1.

Siku ya masaa 24 lakini ndani ya hiyo siku unaweza kufanya mambo ya zaidi ya masaa 24, parallelly.

Kuna vitabu unaweza kuvimaliza hata kwa masaa machache tu.

Jana nimeona kuna kitabu unaweza kusoma kwa masaa matatu. That is just two footbal matches.

Siku hizi kuna mpaka audiobook kwa mtu ambaye anataka kusikiliza kitabu kinasomwa huku anafanya kitu kingine kama mazoezi au kuendesha gari.

Pia si lazima usome vyote, na si vyote vinatakiwa kusomwa mwanzo mpaka mwisho, vingine ni for reference, na hata unavyoanza kusoma si lazima kumaliza, vingine unaweza kuanza kusoma ukaona hiki hakifai ukaacha, ila kusoma muhimu.

Mwezi huu wa December tu nimemaliza kusoma vitabu vitatu

1. "Nexus: A Brief History of Information Networks from the Stone Age to AI" by Yuval Noah Harari.

2. "The Burning Earth: An Environmental History of the Last 500 Years" by Sunil Amrith

3. "The Achilles Trap: Saddam Hussein, the C.I.A., and the Origins of America's Invasion of Iraq" by Steve Coll.

Na kabla ya mwaka mpya namaliza kingine cha nne.

So niki average 4 books a month, that's 48 books a year.

Na hivi ni vitabu vikubwa, vitabu vidogo naweza kusoma zaidi ya 48 kwa mwaka.

Halafu baada ya kusoma kitabu cha a multiple Pulitzer prize winner na kuabsorb heavily researched informatio unakuja hapa JF unabishana na mtu anayesema the earth is flat!
Tupe hints kidogo kwa kile ulichokipata
 
" less and less you need to force things until u arrive at none Action where nothing is done, and nothing is left au undone, nothing is done because the dour has hot vanished into the deed, fuel has been transformed into frame, nothing is in fact everything". - tao the cheng by laozu

kusoma vitabu ni culture ambayo inahitaji kukua kwa mazoea na mfumo wa maisha, ni muhimu sana kusoma vitabu kwa karne hii tuna fursa ya upatikanaji wa vitabu kirahisi mfano hii timeline kwenye kitabu cha tao the cheng nimeisikiliza kama audio book toka 2014 mpaka leo naikumbuka
 
Back
Top Bottom