Kwanini watanzania tunasoma ili tuajiriwe?

manock

Member
Nov 7, 2016
97
37
Kwanini sisi Watanzania tunasoma ili tuajiriwe? Nimejiuliza tufanyeje kutatua tatizo hili maana tukiambiwa tujiajiri tunaanza kulalamika kwa sababu tumekariri ukisoma lazma uajiriwe.

Mimi nashauri tuache mfumo huu wa kutegemea kuajiriwa. Ukisomea sekta yoyote uwe unaweza kujiendeleza mwenyewe bila kumtegemea mtu na tuache kusoma kwa kukariri kuanzia primary hadi university.
 
Majibu ya swali lako haya hapa
Screenshot_2016-12-07-17-47-20.png
Screenshot_2016-12-07-17-48-14.png
 
Kwanini sisi Watanzania tunasoma ili tuajiriwe? Nimejiuliza tufanyeje kutatua tatizo hili maana tukiambiwa tujiajiri tunaanza kulalamika kwa sababu tumekariri ukisoma lazma uajiriwe.

Mimi nashauri tuache mfumo huu wa kutegemea kuajiriwa. Ukisomea sekta yoyote uwe unaweza kujiendeleza mwenyewe bila kumtegemea mtu na tuache kusoma kwa kukariri kuanzia primary hadi university.
Uwezo wa kujiendeleza mwenyewe utautoa wapi wakati umesoma tokea huko chini mtaala haukuruhusu
 
Elimu ya Mkolon (Formal education)ndo imetufikisha hapa tulipo mtu unasoma bila vitendo utakitambuaje kipaji chako
 
sio sisi tu mkuu hata wamarekani na wengine wote duniani ......tunasoma ili tuajiriwe ndo maana hata mabank na sehemu nyingine zina wafanyakazi...au ule ni muunganiko wa waliojiajiri
 
Back
Top Bottom