Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,185
- 1,975
Fisadi hiliMajibu ya kiongozi wa Chama haya
Kwanza vipato vyetu ni mtihani saana, kifupi life la bongo kwa mtu wa kawaida ni linabana bora ubanwe kende luliko life la bongo.
Yani inaonekana ulikua kipanga sana wa kuandika Essay...hongera ssnaIko hivi ukiangalia wazungu wengi ni watu ambao wanafanya sana saving hata wenye vipato vya kawaida.
Wanaweza saving kwakuwa kwanza kiwango cha utegemezi kwao ni kidogo sana. Yani utakuta baba na mama wana mtoto mmoja au hawana na hamna mtu anaewaomba hela.
Hakuna sijui michango ya ukoo, sijui mtoto wa mjomba ada shule, mara rafiki anaoa, mara bibi anaumwa n.k
Birth control imesaidia wenzetu sana. Sisi huku mtu ana ndugu zaidi ya laki na akipata tu ka ajira ka kulipwa laki saba basi kila mtu anamtolea macho, vizinga visivyoisha.
Huyo mtu ata save sangapi ili aweze kutembelea nchi mbalimbali?
Kingine kwa wenzetu wa nje huko wengi wanakula generational wealth. Yani mtu anazaliwa anakuta familia iko well-off kuanzia vizazi kadhaa vilivyopita. So yeye anaendeleza kutengeneza hela tu na future ya kizazi chake so mambo kama kusafiri ni kawaida tu.
Chamwisho ni nchi yetu hii ina mifumo ya ajabu sana. Mtu kumiliki passport tu inaonekana kama vile ni jambo la ajabu sana. Ukienda uhamiaji kutaka passport inakuwa ni mchakato mgumu utadhani unataka kwenda mbinguni.
Nchi za wenzetu kuwa na passport ni kawaida na kila raia anayo kama document muhimu. Hapa kwetu passport inachukuliwa tofauti sijui kwanini CCM hawataki raia wamiliki passport?
Namba 3 hasa ndo kipengeleMwanamke aitwaye Cassandra de Pecol kutoka Connecticut, alifanikisha ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani, 193,
akiwa na umri wa miaka ishirini na saba.
Mpaka anafikisha miaka 18, Canada ndiyo nchi pekee aliyokuwa amefika, tena, ni kwa vile mama yake anatokea huko. Sababu kubwa iliyomfanya asisafiri akiwa mdogo ni uwezo mdogo wa kifedha.
Kufanikiwa kwake kuzitembelea nchi 193 ni jitihada zake binafsi. Anavyoonekana si tajiri, ila anapenda kusafiri. Lakini kuna Watanzania ambao pengine wana uwezo mkubwa kifedha kumzidi yeye lakini bado hawasafiri.
Ukizilinganisha nchi za Afrika Mashariki, hasa Kenya, Uganda, na Rwanda, Watanzania ndiyo wanaoongoza kwa kutokusafiri kwenda nchi zingine. Kwa nini hivyo?
1. Umaskini?
2. Lugha?
3. Ugumu wa upatikanaji wa passport?
4. Ushamba?
5. Utamaduni?
Sababu ni nini?
Mimi sijui mambo ya essay ni dy/dx tu.Yani inaonekana ulikua kipanga sana wa kuandika Essay...hongera ssna
umemaliza kila kitu
100%
Basi ulikua mtaalamu wa kusawazisha/ku prove theories.....ukiweza hivyo hakuna kitu kitakushinda...Mimi sijui mambo ya essay ni dy/dx tu.
Utakuwa na likizo lini, tuarrange tour?Mi kwakweli napenda sana kusafiri, napenda shida ni account yangu hata nchi ya zanzibar tu hapo salio halitoshi[emoji17]
Hata sahivi nipo likizo, twende zanzibar??? Au mbele kabisaUtakuwa na likizo lini, tuarrange tour?
Tuanze na hapo nchi jirani Zenji then tupange ya mambele hukoHata sahivi nipo likizo, twende zanzibar??? Au mbele kabisa
Walikuwa na uraia wa Israeli?Miaka fulani tuliendaga tel aviv
Huko tulikutana na watanzania waliyokaa muda mrefu sana huko
Kuna mzee mmoja huko alinikaribisha
Kwake somebody gasper matunda,aliniambia alipokuwa bongo
Alikuwa tanzania elimu supplies
Sema amejikita huko na yuko vzr alikuwa
Ova
Uko sahihi mkuu. Ndiyo maana wengine wanafikiri watu wanaopaswa kusafiri ni ambao nchi zao zina matatizo.Kwanza ukifanya simple survey kujua iwapo wabongo wanajua faida za kusafiri nina uhakika Kama wapo ni wachache sana 1 katika 100000.
Ndio maana wanakwambia hawawezi kusafiri bila sababu ya msingi [emoji3][emoji28]
Mimi nafikiri, sababu kubwa inaweza ikawa ni "ujinga"Ujinga.
Hatujui umuhimu wa kusafiri kiafya.
Uchumi.
Wengine hawajatoka hata nje ya wilaya waliyozaliwa.Nchi mbona umeenda mbali Sana[emoji28]hapahapa TZ Tu kuna watu Stori zao n mkoa mmoja Tu.