Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

Kwanini watanzania hatutamchagua Lowassa?

marryan

Senior Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
108
Reaction score
37
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:

Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.

Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.
 
Attachments

  • 1445069041905.jpg
    1445069041905.jpg
    8.1 KB · Views: 859
Sisi tutamchagua Lowassa kwakuwa ni kiongozi pekee mwenye kujua matatizo ya nchii na mwenye nia ya dhaati ya kuyaondoa... Magamba kwa kushirikiana na wakwapuaji wa rasilimali za nchi hii wanaogopa kukatiwa mirija! Udini Ukanda na Ukabila ni sera ya CCM ... waulizeni akina Nape, Lusinde na Ridhwan Kikwete ... Historical distortions haitawasadia kwa sasa ... Tunahitaji kuondoa Ujinga, Maradhi, Umasikini na Ufisadi kwa vitendo .. Chagua lowassa kwa mabadiliko ya kweli
 
Sijasoma bandiko lako lote coz sijaona cha kujibu .... Sema kwann ww hutamchagua lowasa sio watanzania, usitujumlishe.

Pili, lowasa ni next president whether u like it or not.
Ssshiv nawaambia ukweli, bado siku chache sn, Kuna watakaolia, Kuna watakaokata tamaa kabisa baada ya matokeo..... Stay tuned.
 
ndio rais ajaye ujiandae tu kisaikolojia mkuu nilikuwa mbishi zaidi yako but now nimeshakubali
 
Umetumwa wewe! LOWASSA ndie Rais wako ajaye.
 
Ameiteka mioyo ya Watanzania walio wengi kiasi kumtoa humo mioyoni ni ngumu sana. Lowasa atachaguliwa na Watanzania wengi kuliko wagombea wengine!
 
Mpeleke mahakamani basi. Unaongea pumba tu! Halafu acha kuhukumu wewe!

Mahakamani akafanye nini wakati unajua fika alishasema atatengua maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi za ugaidi na ubakaji? Hukumu ya wananchi inatosha mahakamani itaenda hesabu tu. Hivi wewe unadhani watanzania ni hawa tunao waya waya humu jf? Utawajua watanzania wenye nchi baada 25 Oktoba. Mimi nawajua fika.
 
sijasoma bandiko lako lote coz sijaona cha kujibu .... Sema kwann ww hutamchagua lowasa sio watanzania, usitujumlishe.

Pili, lowasa ni next president whether u like it or not.
Ssshiv nawaambia ukweli, bado siku chache sn, kuna watakaolia, kuna watakaokata tamaa kabisa baada ya matokeo..... Stay tuned.

wewe huenda baada ya #magufuli kutawazwa ukafakabisa.
 
Sema wewe na wachache wenzako mnonufaika na ccm ndio hamtamchagua lakini sisi wengi tulikandamizwa na ccm kwa miaka na miaka tutamchagua.
 
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:

Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.

Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.

Usiwasemee Watanzania Sema Wewe Ndiyo Huta Mchagua Lowassa. Na Hiyo ni Haki Ya Kila Mtu Kuchagua Yule Aonaye Anamfaa. siyo Kuwasemea Watamzania kwani Wao Wanahaki Ya Kumchagua Wamtakaye.
 
...ntavaa joho wakati wa kuapishwa rais wetu mteule Lowassa...
 
Sema wewe ndie hutamchagua lowassa sio wote. Mimi na familia yangu wote ni watu wamabafiliko...CCM tupa kule
 
Jamani hata kuandika tu hujui?
ulisoma wapi dada wewe?
 
Mpeleke mahakamani basi. Unaongea pumba tu! Halafu acha kuhukumu wewe!

Bunge lilishamhukumu kuwa ni fisadi.Si lazima kumpeleka mahakamani kwa sasa kumnyima kura tarehe 25 octoba ni hukumu ya kumtosha sana tena sana.

Katika watu wasio na haya dunia hii ni Lowasa hivi anaweza akaka akiota uraisi kweli!!!!
Angekuwa anahitaji uraisi ilitakiwa ajiandae kitabia na kiafya kuanzia miaka mingi iliyopita.Lakini hakujali kujiangalia kitabia wala kiafya.Alijiishia maisha ya hovyo yasiyompendeza Mungu wala wanadamu leo hii huyu bila aibu anaibuka eti anautaka uraisi!!! NYOOOOOOOOOOO!!!!!
 
KWANINI WATAZANIA HATUTAMCHAGUA EDWARD LOWASSA:

Kwanza si mwadillifu, ana vinasaba vya wizi na ufisadi, mfano Richmond, Scotland yard, shivacom tz n.k
Pili, Lowassa ni mbaguzi, mbinafsi asiyependa umoja wa kitaifa.
Tatu, Lowassa ni mdini na mkabila ambaye anatanguliza maslahi yake na watu wanaomzunguka.
Nne, Lowasa si mzaledo ni mpenda choko choko asiye penda uwepo wa amani na usalama.
Tano, Lowassa mwongo na mwenye ndimi mbili, haaminiki.
Sita, Makundi yanayopigana kumpeleka lowassa ikulu ni genge la wezi, na watatumia ikulu kwa faida na biashara zao binafsi.
Mwisho, Lowassa ni mla rushwa na fisadi ambaye anapigania biashara zake mbalimbali kwa kukwepa kodi.

Watanzania hatutamchagua Lowassa kwa sababu amekosa sifa na haaminiki.

usiwasemee watanzania
nchi ishavurugwa hii
nakutafuta na mkuki kmabako
nsha ku track
 
Back
Top Bottom