Kwanini wasomi hukimbilia nje ya nchi?

Kwanini wasomi hukimbilia nje ya nchi?

They are pretty good!!!
but ni kwanini wanakimbia chini yao?

kuna jamaa zangu wako nje unalosema ni kweli kabisa ila kuna jamaa kaja hv karibuni alienda huko.zaid ya 15 yrs akanambia hv waliorudi bongo wengi wana lost maisha halaf wanajuta walifuata nn na inakua vigum tena kurudi kwa hyo kila mtu hataman kurudi kwa kujua ata lost akija bongo wengi wanakuja kusalimia wakikata tiket kabisa go and return wasipate shida,ila huyu jamaa akanambia eti bongo imechange sana kimaendeleo kwa hyo atakuwa anatuma.fedha kununua viwanja na kijenga mijengo uli hata akirudi nyumba zake atakodisha sasa hv ana gorofa moja na nyumba ya kawaida na viwanja kibao.
 
Hivi ndugu zangu hili mnalionaje,nimebahatika kusoma na kukutana na watu wengi wenye uwezo mkubwa kitaaluma lakini mwisho wa siku wote hawataki kurudi nyumbani kufanya kazi.

Kuna dogo moja alisoma International School of Moshi akaenda Kusomea Mining Engineering University of Alberta na amefaulu vizuri kweli lakini hataki kurudi home.Ukiongea naye hataki kabisa kusikia anasema kuna siku alishawahi kuongelea mambo ya madini kwenye redio fulani akatishiwa na watu asiowajua.

Tena kuna jamaa yangu mwingine alisoma pale AGHA KHAN MZIZIMA akepelekwa kusoma AVIATION ENGINEERING MOSCOW STATE UNIVERSITY hataki rudi.

kuna wengine nawafahamu wamesoma Harvard,MIT,hadi Yale lakini hawataki hata kusikia kuhusu Tanzania yaani its sad. Kinachouma zaidi wengine wamemaliza UDSM,MUHIMBILI,MZUMBE miaka ya nyuma kidogo na wanajiweza haswaa ila wameshaondoka nchini.

Mimi nakumbuka mwalimu wangu moja hivi ni alisoma SOVIET UNION miaka ya nyuma na alivyorudi akawa anafanya kazi kama engineer wa ndege kipindi cha Nyerere. Kuna siku akajishauri aombe kazi British Airways wazungu walimpa ile kazi kwa haraka kweli.

Siku anafika Airport ya Uingereza anadakwa na polisi wa Uingereza kumbe Nyerere kapiga simu muda jamaa arudishwe Tanzania. Basi jamaa akarudi TZ.Cha kusikitisha kipindi cha Mkapa jamaa walimwondoa kazini wakasema hana Uwezo ila sasa Msiba wa Nyerere umetokea inabidi waende wakamkodi tena kutoka nje ili arekebishe ndege ya kumbebea Mwalimu.

Sasa mimi huwa najiuliza hivi ni kwanini wasomi wa Tanzania huwa hawakai nchini na hata kama akikaa nchini basi huwezi msikia anajihusisha na mambo ya maendeleo ya nchi.Mtu huyo awe Lawyer,.Engineer,Doctor,Economist,wooote hawataki kuisaidia nchi.

Yaani tunabaki na changamoto tupu.


Nina mifano.kam.miwili hv unajua wabongo waongo sana mfano kunajamaa mashuhuri sana yuko now azamtv aliahidiwa nA mkuu wa kaya kuwa aje kuboresha stesheni zetu hizi tbc na radio aliacha paund kibao ulaya yuko akaona ngoja niwe mzalendo kilichotokea kazoea kufanya kazi smart usiyo na uongo uongo kaja huku wanamfundisha uongo akagoma kutekeleza hakuchukua round wakamtimua,akaonekana hafai kumbe wao ndio tatizo ,doktor mmoja kaja bongo hapa kafanya kazi nowdayz kalost unajua ukitoka ulaya jipange kujiajiri sio kuja kusaka job tena utapotea tafta mtaji unakuja wekeza ukirudi huku bonge la tajiri miradi kibao mbona maisha yanaenda vizur ukijifanya kujA kusaka job umekwisha.
 
after studies, wengi tunafikiria kujiendeleza binafsi, wapi kuna benefits zaidi, unfortunately wengi wanapata manufaa zaidi nje ya nchi kuliko ndani, ndio hapo unajiuliza kwa nn nibaki au niende Tz wkt kuna offer nzuri zaidi nje?..kila mtu anamalengo yake
 
Juzi kwenye taarifa ya habari nimeona bado swala la malipo ya watumishi wa umma ni utata. Katibu mkuu wa wizara ya fedha anadai kuna madai ya billioni 19 baada ya uhakiki wa CAG imebainika madai halisi ni billioni 5.

Kwanini kila mara kuna utata wa haya mambo ambayo yanachelewesha malipo halali kisa ufisadi wa wengine na mpaka CAG azunguke kubaini kila siku.

Kwa hili tatizo tu embu google articles on managing public finances in Tanzania utakutana na maandishi kadhaa ya wasomo wakitanzania ambayo yanaelezea structure mbovu ya uhakiki kwenye taasisi na serikari, poor internal processes za kufanya checks, lack of investment in IT to reduce double payments (kwa mujibu wa habari kuna walimu wanadai kama walimu wa msingi hapo hapo wanadai kama walimu wa sekondari mtu mmoja hivi ujiulizi how possible) Imagine wewe ndio msomi uliyeyaona hayo mapungufu ukayaandikia ufumbuzi wake and no one cares to listen to you ppl do their business as usual. Wala serikari isifikirie kuchukua maandishi yao na kujaribu kujengea framework za usimamizi, sasa wabaki wanafanya nini tena Tanzania.

Tunawadharau sana wasomi wetu Tanzania kwenye kuendesha gurudumu la maendeleo waache waende tu kwenye mataifa yatao thamini mchango wao.
 
hivi ndugu zangu hili mnalionaje,nimebahatika kusoma na kukutana na watu wengi wenye uwezo mkubwa kitaaluma lakini mwisho wa siku wote hawataki kurudi nyumbani kufanya kazi.

Kuna dogo moja alisoma international school of moshi akaenda kusomea mining engineering university of alberta na amefaulu vizuri kweli lakini hataki kurudi home.ukiongea naye hataki kabisa kusikia anasema kuna siku alishawahi kuongelea mambo ya madini kwenye redio fulani akatishiwa na watu asiowajua.

Tena kuna jamaa yangu mwingine alisoma pale agha khan mzizima akepelekwa kusoma aviation engineering moscow state university hataki rudi.

Kuna wengine nawafahamu wamesoma harvard,mit,hadi yale lakini hawataki hata kusikia kuhusu tanzania yaani its sad. Kinachouma zaidi wengine wamemaliza udsm,muhimbili,mzumbe miaka ya nyuma kidogo na wanajiweza haswaa ila wameshaondoka nchini.

Mimi nakumbuka mwalimu wangu moja hivi ni alisoma soviet union miaka ya nyuma na alivyorudi akawa anafanya kazi kama engineer wa ndege kipindi cha nyerere. Kuna siku akajishauri aombe kazi british airways wazungu walimpa ile kazi kwa haraka kweli.

Siku anafika airport ya uingereza anadakwa na polisi wa uingereza kumbe nyerere kapiga simu muda jamaa arudishwe tanzania. Basi jamaa akarudi tz.cha kusikitisha kipindi cha mkapa jamaa walimwondoa kazini wakasema hana uwezo ila sasa msiba wa nyerere umetokea inabidi waende wakamkodi tena kutoka nje ili arekebishe ndege ya kumbebea mwalimu.

Sasa mimi huwa najiuliza hivi ni kwanini wasomi wa tanzania huwa hawakai nchini na hata kama akikaa nchini basi huwezi msikia anajihusisha na mambo ya maendeleo ya nchi.mtu huyo awe lawyer,.engineer,doctor,economist,wooote hawataki kuisaidia nchi.

Yaani tunabaki na changamoto tupu.


hizi nchi zetu hasa tanzania, kigezo cha kusaminiwa ni lazima uwe unatoka familia za wanasiasa au watu wenye madaraka makubwa serikarini. Hata ukipata 3rd class chuoni, utapewa wazifa mkubwa unaoitaji mtu mwenye utaramu wa kweli sio bla blaaaa!!!, nandio maana hakuna kinacho fanyika katika ubora wake.

Mfano angalia mradi wowote wa serikari karibu ya eneo lako kwa uwelewa wako hebu jiridhishi kama unavutia.
 
Tanzania hatuthamini professionalism ya mtu tuna ile kitu ya kujuana zaidi kwamba huyu ni fulani kutoka familia au mkoa fulani kuliko kuangalia substances zilizo kichwani mwake.

Nje ambako professionalism ya mtu inaangaliwa kwanza na inakuwa well rewarded ni rahisi mtu kuwa attracted kubaki huko kuliko kuja kuwa kituko hapa nchini.
 
Juzi kwenye taarifa ya habari nimeona bado swala la malipo ya watumishi wa umma ni utata. Katibu mkuu wa wizara ya fedha anadai kuna madai ya billioni 19 baada ya uhakiki wa CAG imebainika madai halisi ni billioni 5.

Kwanini kila mara kuna utata wa haya mambo ambayo yanachelewesha malipo halali kisa ufisadi wa wengine na mpaka CAG azunguke kubaini kila siku.

Kwa hili tatizo tu embu google articles on managing public finances in Tanzania utakutana na maandishi kadhaa ya wasomo wakitanzania ambayo yanaelezea structure mbovu ya uhakiki kwenye taasisi na serikari, poor internal processes za kufanya checks, lack of investment in IT to reduce double payments (kwa mujibu wa habari kuna walimu wanadai kama walimu wa msingi hapo hapo wanadai kama walimu wa sekondari mtu mmoja hivi ujiulizi how possible) Imagine wewe ndio msomi uliyeyaona hayo mapungufu ukayaandikia ufumbuzi wake and no one cares to listen to you ppl do their business as usual. Wala serikari isifikirie kuchukua maandishi yao na kujaribu kujengea framework za usimamizi, sasa wabaki wanafanya nini tena Tanzania.

Tunawadharau sana wasomi wetu Tanzania kwenye kuendesha gurudumu la maendeleo waache waende tu kwenye mataifa yatao thamini mchango wao.


Umenena vema sana mkuu,
Cheers for that.
kama sijakunukuu vibaya tatizo moja kubwa ni mifumo mibovu ya kiutawala.
According to Dr Augustine Mahiga Tanzania inasumbuliwa na tatizo la LEADERSHIP DEFICIT.



 
Back
Top Bottom