Kwanini wasichana wengi wa dsm si wahaminifu?

Kwanini wasichana wengi wa dsm si wahaminifu?

Joined
Nov 5, 2014
Posts
43
Reaction score
5
Hakika wadau hili jambo linanumiza kichwa sana hasa gelz to why most of them are not trustful in love.Ebu nianze hivi nilimpenda sana msichana anayeitwa Aziza but amekua ajali hisia zangu na kujua anaumuhimu gani kwangi,cha kushangaza zaidi yeye muda wote ni kuhitaji pesa tu na c vinginevyo nimejaribu kumueka karibu lakini bado ni tatizo tu.u know she seems to be as if she dates wiz other guys secretely,frankly speaking am really disappointed ma members because l don't understand her all ways of lifestyle.but stil having so many questions if she has no true love,how dare she is and shamelessly asking 4money alwayz.
 
Uandishi wa kitozi siku hizi wana-mmu hata hatuhangaiki nao.

neenda huko na mataputapu yako, vyooooo!!
 
Pole mkuu wasichana waaminifu wapo ni wewe tu unafall kny wrong crowd....amka uchambue upya....
 
waleoo,walieo imekuaje mapenzi hayana muelekeo, sikuizi apendwa mtu linapendwa pochi,mapenzi yao ni photocopy dulayooo.....just singing pole
 
nimezaliwa dar,nimekulia dar,nimesomea dar tena fiesta km kawa kazi nilianzia mtwara nikaja dar,nimeolewa dar!
na aliyenioa hajazaliwa dar,hajakulia dar wala kudomea dar
ila yeye ndo alianza longolongo nikamtuliza kibongobongo
uaminifu ni tabia ya mtu na wala si sehemu atokayo
umalaya ni hulka sawa
upo hapoooo....?!!!
 
Hizi mada zingine kuna haja ya kujua wasifu wa mleta mada kwanza
 
nimezaliwa dar,nimekulia dar,nimesomea dar tena fiesta km kawa kazi nilianzia mtwara nikaja dar,nimeolewa dar!
na aliyenioa hajazaliwa dar,hajakulia dar wala kudomea dar
ila yeye ndo alianza longolongo nikamtuliza kibongobongo
uaminifu ni tabia ya mtu na wala si sehemu atokayo
umalaya ni hulka sawa
upo hapoooo....?!!!

We ndo msanii gani tena?? Nikumbushe basiii
 
Maisha ya Dar magumu....mwanaume mmoja anatosha nini hadi maji ya kupigia deki yananunuliwa khaaa....!!
 
mambo ya facebook facebook twitter ni kichaa kamili kwa kizazi cha leo...whatsup!
 
wenyeji wa Dar tunawaelewa wale sio watu nyumba ile haifai acha kutongoza mademu wa mtaa mmoja na unaoishi wewe
 
Dar affects most of women!!

Interactions & networks za mji huu ni vulnerable kwa wanawake wengi japo co wte!!!
Nakubaliana n hili!!
Mitandao ya kijamii users % kubwa dar & mji umekuwa exposed n starehe zaid!!!
women wanajikuta bila kujua wanajiweka ktk mazingra yasiyouzika for future & kujicommit kwa ampendae!!!
in short ujanja2 & utoto Fulani hvi japo wengne wakubwa ila MIND bdo hazja mature!!!
Wife & husband materials DSM ni ADIMU sanaaaaaaa!!!!
Ukipata shukuru Mungu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom