MTV MBONGO
JF-Expert Member
- Feb 18, 2016
- 1,261
- 1,222
sijui ni kutafuta kick na umaarufu au ni njia ya kutafuta wapenzi. ukigoogle majina ya wasanii wa Bongo utaona picha zao nyingi ni za uchi au nusu uchi. hata wasio wasanii naona nao wanaiga. jamani dada zangu mnajidhalilisha, acheni hiyo tabia!