Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Hilo ni swali langu wakuu wa nyumba hii kwanini hawa wasanii wa mwanza hupenda sana kuchanganya kisukuma kwenye nyimbo zao kinawapelekea kufanya hivo au ndo kuendeleza ukabila
COYO MC huyu ni mwana hip pop kutoka mwanza anayetamba na ngoma yake ya njoo badae humu kuna kuna kisukuma kingi sana
DARASA pia huyu naye ni msanii wa hip hop kachanganya kisukuma ngoma zake nyingi mfano ile aliyoimba na mr blue pamoja na hii mpya ya inayoitwa muzik
Fid q huyu ile ngoma yake mpya inayosifiwa na makonda na kigangwala mwanzon imeanza kwa kisukuma kitupu
Young kiler huyu ndo usiseme kila nyimbo natokea mwanza sijui mwanza mwanza kuna nyimbo kaimba na juma natur yan ni kisukuma tupu
Kara jeremiah masanja huyu naye ana nyimbo ameimba kwa kisukuma tu sijui alimanisha nini kwenye ile nyimbo
Dudu baya huyu huchanganya lakin sio sana
Hao tu ni wale wa hip hop tutaendelea badae na wale wabana pua