MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,067
- 43,443
tunataka mapato kila kona ya inchiNinajitahidi kuelewa ila nimeshindwa kabisa kuelewa kwanini wapika keki wasajiliwe na BASATA. Kama sherehe ni matukio ya sanaa inabidi hata BURIAL CEREMONIES nako wahusike pia. Wasajili wapishi, wachimba kaburi, na waendesha ibada za maziko.
kwangu mimi hii sheria ya BASATA kusajili hadi wapika keki ni ya kipumbavu zaidi kuwahi kutokea. Ikumbukwe hawa ma-DJ na wapika keki wengi wao wamesoma ila ajira ikawa ngumu ndo wakaamua kujitafuta kwa namna yao bila kuvunja sheria. Sasa mnakuja na sheria za kuwadhibiti badala ya kuwapa moyo kusonga mbele??!!!... mnavyowakatisha tamaa mnataka waende kuwa wahalifu?
Ninawasihi wabunge kufanyia marekebisho sheria hii ya kijinga ili kuzuia huu upuuzi wa BASATA unaoendelea.
View: https://www.instagram.com/p/DWHLp-Rj70B/?igsh=YndwODRsdDYzbzE5
Keki zinavunja maadili?Zile keki Zina manenoooo... Nyingine hadi kiziwi anaweza kusikia!
Kwenda BASATA ni too much! Nadhani kuwe na chombo huru ambacho kinaweza ku overruns kila sekta. Kuwe na Baraza la Maadili. Lishughulikie mambo yote kuhusu Maadili ya Taifa na kutoa elimu kwa Wananchi.
Si ndo wale wanalipa 20k per yrSoon wachoma mahindi watafikiwa
Tena jinga kabisa hilo jamaa sijui nalionaje yani.Wewe ni miongoni mwa Wajinga mnaotumikishwa na mnalipwa, mara zote tumekuambia serikali ya Tanzania imekufa huelewi, Usitupigie kelele
Wewe nyumbu ninaongelea jambo la kitaifa.. acha kuleta uchama hapa.Wewe ni miongoni mwa Wajinga mnaotumikishwa na mnalipwa, mara zote tumekuambia serikali ya Tanzania imekufa huelewi, Usitupigie kelele
Kama kuniona mjinga inaongeza kitu maishani mwako basi ongeza bidii.Tena jinga kabisa hilo jamaa sijui nalionaje yani.
Huna utaifa wowote Kapuku mtumwa wee! Mara zote unatetea Ujinga humu Leo umeguswa unaliaWewe nyumbu ninaongelea jambo la kitaifa.. acha kuleta uchama hapa.
Keki zinavunja maadili?
Maadili ya Taifa ni yapi?Zile keki Zina manenoooo... Nyingine hadi kiziwi anaweza kusikia!
Kwenda BASATA ni too much! Nadhani kuwe na chombo huru ambacho kinaweza ku overruns kila sekta. Kuwe na Baraza la Maadili. Lishughulikie mambo yote kuhusu Maadili ya Taifa na kutoa elimu kwa Wananchi.
Na wenzake ChoiceVariable StuxnetWewe ni miongoni mwa Wajinga mnaotumikishwa na mnalipwa, mara zote tumekuambia serikali ya Tanzania imekufa huelewi, Usitupigie kelele