econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 24,077 Reaction score 37,672 Nov 8, 2023 #1 Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie
Muuza Viat JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 2,871 Reaction score 7,479 Nov 8, 2023 #2 econonist said: Nimeiona kuanzia Jana wapalestina wanatembea na bendera nyeupe . Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Sawa na kunyanyua mikono juu mwendo wa mateka
econonist said: Nimeiona kuanzia Jana wapalestina wanatembea na bendera nyeupe . Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Sawa na kunyanyua mikono juu mwendo wa mateka
Mchizi JF-Expert Member Joined Apr 23, 2009 Posts 3,052 Reaction score 7,455 Nov 8, 2023 #3 Ni kukubali kushindwa.
LINGWAMBA JF-Expert Member Joined Sep 30, 2023 Posts 484 Reaction score 1,215 Nov 8, 2023 #4 econonist said: Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Umeshaanza pre form 1 ?maana swali lako ulivyouliza unaonekana kabisa mtoto sidhani mtu mzima uwe hujui maana ya bendera nyeupe kwenye uwanaja mapambano.
econonist said: Nimeiona kuanzia jana Wapalestina wanatembea na bendera nyeupe. Najaribu kujiuliza hiyo bendera nyeupe Ina maana gani?. Mwenye kujua anisaidie Click to expand... Umeshaanza pre form 1 ?maana swali lako ulivyouliza unaonekana kabisa mtoto sidhani mtu mzima uwe hujui maana ya bendera nyeupe kwenye uwanaja mapambano.