Kwanini wanzanzibari tunanyanyaswa kwenye nchi yetu

jamesbond007

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
36
Reaction score
8
kwanini wazanzibari wananyanyaswa na kupigwa ndani ya nchi yao wanapo toa maoni yao na uhuru wa kukusanyika yeye ananyamaza bila kukemea akiwa ameapa kuwalinda na kuwatetea juu ya maslahi yao? Hali hii jee ataweza kuyalinda maoni watakayoyatoa kama anavyopiga kampeni??? Mzanzibari toa maoni yako
 
Nani kakunyasa wewe...?
Ukinyanyaswa tutajua ata usiposema..
Ebu kwanza tumalize ya Dr wetu Ulimboka
 
kwanini wazanzibari wananyanyaswa na kupigwa ndani ya nchi yao wanapo toa maoni yao na uhuru wa kukusanyika yeye ananyamaza bila kukemea akiwa ameapa kuwalinda na kuwatetea juu ya maslahi yao? Hali hii jee ataweza kuyalinda maoni watakayoyatoa kama anavyopiga kampeni??? Mzanzibari toa maoni yako

Hakuna anayewanyanyasa...ni ulalamishi wenu tu
 
UAMSHO unawanyanyasa wabara walioko znz na wakristo.
 
kwanini wazanzibari wananyanyaswa na kupigwa ndani ya nchi yao wanapo toa maoni yao na uhuru wa kukusanyika yeye ananyamaza bila kukemea akiwa ameapa kuwalinda na kuwatetea juu ya maslahi yao? Hali hii jee ataweza kuyalinda maoni watakayoyatoa kama anavyopiga kampeni??? Mzanzibari toa maoni yako
Kwa sababu wanatumia masaburi kufikiri. Ashakum si matusi!
 
Hakuna mtu anaehitaji kuinyanyasa Zanzibar, ila ni nafsizetu dhaifu na kuto kuona mbali.
 
kwanini wazanzibari wananyanyaswa na kupigwa ndani ya nchi yao wanapo toa maoni yao na uhuru wa kukusanyika yeye ananyamaza bila kukemea akiwa ameapa kuwalinda na kuwatetea juu ya maslahi yao? Hali hii jee ataweza kuyalinda maoni watakayoyatoa kama anavyopiga kampeni??? Mzanzibari toa maoni yako

uzembe wenu wa kuchagua wabunge na wawakilishi wanao nunulika
 
Kunyanyaswa ndiyo matunda halali ya kutawaliwa. Siku mkijitawala hamtanyanyaswa tena.
 
Hebu dadavua
1. Nan anawanyasa?
2. Katika nyanja gan?
3. Wapi? Unguja na pemba au tanganyika
 
Back
Top Bottom