Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Inawezekanaje mwanamke kusalimika kupata maradhi kama UTI wakati mwanaume ana mauchafu kwenye njia yake ya mkojo? Ninachojua mwanamke ni vulnerable sana linapokuja suala la uchafu ukeni.
 
DAH,kiukweli hili ni fundisho na semina ya bure kwa watu ambao wanajihusisha na masuala hayo ambayo dah,yanatia kinyaa na kufedhehesha,mie nilikuwa sijui hayo yote ila sasa darasa nimepata,
 
Duuh hata wew!!!!???
 
Ninahitaji moyo mkuu kuelezea haya
 
Alafu marekani wanajaribu kutuonesha kwamba ni jambo la kawaida
 
"Eeh nisaidie siku nikiona tundu la mbele la mpenzi wangu limenichosha nitoke nikatafute tundu lingine la mbele kwingine na sio kuhamia tundu la nyuma...."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…