kwanini wanawake wenye umri mkubwa hupendelea vijana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini wanawake wenye umri mkubwa hupendelea vijana?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by angelo francis, Jul 22, 2010.

 1. a

  angelo francis New Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Imekuwa ni kawaida siku hizi vijana kudakwa na Mijimama hivi siri yake ni nini?
   
 2. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mijimamaa ina rahaaa....
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kazi hamna, mjini pagumu,wee unadhani na elimu yako ya form four utaajiriwa na nani zaidi ya mijimama?
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  wanapenda vya bure
   
 5. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Na kwa nini wanaume wenye umri mkubwa (mafataki) hupendelea vijana wa kike?
   
 6. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ngono shupavu mdo mtaji... uvivu wa kufanya kazi ndo jadi yao!!
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa Vijana wengi wanataka vitu vikubwa na hawana pesa!!Mama waumezao wapo busy na shughuli za biashara nakama sibiashara siasa nwao wanataka wadogodogo wakuwapetpet maana watoto wakikike wengi wazuri kama uonavyo mwezi!!!Shida huishia nyumbani baba akirudi kaisha malizwa analala kesho mama naye panawasha!!wakumaliza haja yake ninani??Kijana anatafutwa kesho anamuhadithia shoga yake naye anatafuta wakienda out na serengeti boys wao na serengeti wanaitana wanakaa mkao mmoja!!kesho mama nao wanamwita shoga yake njoo nimekupatia kijana wakukutoa*******Njoo kesho mahali fulani basi inakuwa biashara ukweli ni KWAMBA INASABABISHWA NA UGUMU WA MAISHA NA U BUSY WA MAISHA !!!:juggle:

   
 8. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hivi hii ina ukweli au ni ndiyo ile waingereza wanaitea STEREOTYPE???????????????
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  why not?????????​
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  Wanaume wengine wavivu wa kutafuta,wanaona bora na wao walelewe.
   
Loading...