Kilenzi _Jr
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 301
- 1,110
Sawa lakini Kwa mujibu wengi wanadai kuwa mwanamke ndo anakuwa na jeuri zaidi anaweza Fanya kitu kibaya Hadi shetani akashangaa“Ata mwanaume akipata pesa huwa jeuri vile vile atataka mambo yake yasiingi
Sawa lakini Kwa mujibu wengi wanadai kua mwanamke ndo anakua na jeuri zaidi anaweza Fanya kitu kibaya Hadi shetani akashangaa
Daaah🤔Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama sokoine yupo hai
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama abdul jumbe yuko hai tena WOTE 2
Mama samwel sitta yuko hai
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Tafakari,chukua hatua...WABABA TUNAFELI WAPI?
Kweli umenenaWanaume wengi Ni dhaifu na wana inferiority complex, wanapenda wanawake wanyonge wawatese Ili waonekane wao ni vidume wa shoka, wanaamini hivo, sasa mwanamke anayejitegemea mwenye shule wanaume wakitanzania Wana mwogopa ka kituo Cha police na kumwita jeuri
😂😂Sasa hao ndio wazuri, wanajua kupenda sanaaaaa
So kwetu sisi wanaume tunafanyaje Sasa Ili mwanamke Huyu tumuweke chini yetu?Mwanaume utafta pesa ili kumridhisha Mke wake na familia ila Mwanamke utafta pesa Kama kujikomboa ili ajitenge na mwanaume na unajua sababu za kutaka kujitenga? Ili awe na maamuzi ya kujitawala (independent) ambacho huwezi kukiona katika mahusiano yenye amani Kama mwanamke anajitawala hivo tunaogopa hayo
Britanicca
Not sure Kuna wengine wanawaka Saana anaweza akakugeuza house boy kisa cheo chakeMwanamke hata awe ana mabawa,mapembe,miiba bado ni Mlaini mbele ya mwanaume
Nawakumbusha tu..
Mama Maria Nyerere yuko hai.
Mama Karume yuko hai.
Mama sokoine yupo hai
Mama Salmin Amour yuko hai
Mama Omary juma yuko hai.
Mama abdul jumbe yuko hai tena WOTE 2
Mama samwel sitta yuko hai
Mama Mkapa yuko hai
Mama Maiga yuko hai.
Mama Maalim Seif yuko hai
Mama Kijaz yuko hai
Mama Janet Magufuli yuko hai.
Tafakari,chukua hatua...WABABA TUNAFELI WAPI?
Hawaogopi Bali ndo wanawatamani Ili wenyewe pia wawe nafasi ya kwanza katika maamuziHata wao wanawaogopa wanaume ambao hawajafanikiwa...