Ndio maana nakupendanyie gombanieni hao wazuri wabaya niachieni mimi

Kumbe eeeh!Ni kwa sababu watoto huchukua asilimia kubwa ya nasaba na majina ya baba zao.


aaaa sana tuNdio maana nakupenda![]()
WAPO WAPO WAPO WENGI SANA WABAYA WAPO NA WASIWASI NA WEWE PIAHakuna mwanamke mbaya, kikubwa matunzo
aiseeHahahahahahaha
HAPPY NEW YEAR SONSiku ya leo sijui naionaje tu....![]()
![]()
Milele amina...HAPPY NEW YEAR SON

hahahah naona umevuka mwaka!Milele amina...![]()
Nimevuka salama mkuuhahahah naona umevuka mwaka!
Sasa hao wazuri wataolewa na nani?? Kila mtu aoe/kuolewa na amtakaye bwanauzuri wa mke au msichana ni engine na tabia yake ,vingine ziada tu na ujue wazuri wengi wametumika sana wameona vingi we ni kama wa 987 wengi wameshapita kwa hao,mark my word,,,wasichana wengi wazuri si wa kuoa ni kupta na kuondoka jiulize kwa nn lucifer aliasi kule mbinguni hvy ni kizazi kile tu ,ukitaka maisha yako yawe ya msongo hadi kufa oa mke mzuri na wa kutamanisha.
Wazuri ni tabia sura ni urembo tu.
'Beauty is in the eye of the beholder'