uzuri wa mke au msichana ni engine na tabia yake ,vingine ziada tu na ujue wazuri wengi wametumika sana wameona vingi we ni kama wa 987 wengi wameshapita kwa hao,mark my word,,,wasichana wengi wazuri si wa kuoa ni kupta na kuondoka jiulize kwa nn lucifer aliasi kule mbinguni hvy ni kizazi kile tu ,ukitaka maisha yako yawe ya msongo hadi kufa oa mke mzuri na wa kutamanisha.
Wakikuzidia usisite kunipunguzia mkuu tusaidiane.nyie gombanieni hao wazuri wabaya niachieni mimi
Kama ilivyo kwa wanaume wengine mahandsome na wengine sura kama Zero IQ
🤣🤣🤣🤣nyie gombanieni hao wazuri wabaya niachieni mimi
Hakuna mwanamke mbaya, kikubwa matunzo
Money PennyKama nani mbaya?