Mmmh wao wenyewe mapepo kamili na hali haitakuwa shwari mpk mwisho wa duniaTuombewe tuu nadhani ni mapepo yametuzunguka yakitoka hali itakuwa shwari kabisa.
Well said Jovitha, wewe je, hayo mambo unajionaje?! unahisi uko hivyo!!Nikweli, wanawake hatupendani, na kinacho Fanya tusipendane ni kila mmoja anajiona bora, mzuri yeye, kasoma yeye, pesa anazo yeye, kuvaa anajua yeye, mabwana mahandsome wote anayo yy, ndiyo chanzo cha sisi kutopendana tuna wivu wakijinga usio na maana
Hapana sipo hivyo hata kidogo nahisi Nina roho ya kipekee, coz sijui kuringa, sina nyodo, majigambo, nipo kawaida mnoo nainapotokea mwanamke mwenzangu kafanya jambo zuri nasikia amani mnoo kumpongezaaa,... Hivyo ndiyo jilivyoWell said Jovitha, wewe je, hayo mambo unajionaje?! unahisi uko hivyo!!
ntarudi baadaye...
Yaleyale. Hapa wewe unajiona ni bora kuliko wenzio....ifahamike kuwa kila binadamu ana tabia yake kama mtu ana maringo, kiburi majigambo hiyo ni tabia yake atakuwa hivyo hata kwa wanaume.Hapana sipo hivyo hata kidogo nahisi Nina roho ya kipekee, coz sijui kuringa, sina nyodo, majigambo, nipo kawaida mnoo nainapotokea mwanamke mwenzangu kafanya jambo zuri nasikia amani mnoo kumpongezaaa,... Hivyo ndiyo jilivyo
Lakini sina rafiki wa kike hata mmoja wala wakiume, mda mwingi napenda kuwa peke yangu, kuepusha mambo yasiyo na ulazima
Wanamuonea wivu kaka yao sijui na wenyewe wanataka kaka yao awatafuneNi kweli wanawake wengi hawapendani. Ni asili yao ukitakakuona njoo na mwanamke umtambulishe nyumbani kwa ndugu zako wa kike ndiyo utawajua vizur hawa viumbe
izo kiki tu wanawake wote mwalimu wao kipofu unaweza kuonge maneno kwa nje lakini atujui moyoni pakojeHapana sipo hivyo hata kidogo nahisi Nina roho ya kipekee, coz sijui kuringa, sina nyodo, majigambo, nipo kawaida mnoo nainapotokea mwanamke mwenzangu kafanya jambo zuri nasikia amani mnoo kumpongezaaa,... Hivyo ndiyo jilivyo
Lakini sina rafiki wa kike hata mmoja wala wakiume, mda mwingi napenda kuwa peke yangu, kuepusha mambo yasiyo na ulazima