Wewe kama ni mgeni jf utajibeba,wacha ushamba kwani neno hili umeliona kwa Mara ya kwanza?
Wewe kiingereza unakijua?? Ulivyo quote kwa nguvu ukidhani umekosoa neno jipya hapa jf kumbe marudio.
Wanaolijuwa wanapita kimya wewe endelea na ushamba wa chato.
BTW fight with your weather huna jipya hapa jf.