Kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nimalize siku yangu na kucheka tu, siku nzima nilinuna.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nimalize siku yangu na kucheka tu, siku nzima nilinuna.
pole punguza kununa utazeeka my dear, usipende kuruhusu kununa zaidi ya dakika kumi
 
 
 
Na hili linajidhihirisha hata kielimu, ukikuta mwanamke Dokta au Profesa,muangalie jinsi alivyo muonekano wake!Warembo wengi huishia degree ya kwanza au ya pili!
Lol! Kazi ipo,lakini kupanga ni kuchagua!Sema wao wamejaliwa akili ya kujua mambo ya anasa.
 
Sio warembo tu na wenye makalio makubwa, ni pumbafu pumba tupu kichwani. Uzuri na kalio kubwa vimekuwa ulemavu kama ulemavu wa viungo kwa walemavu. Hopeles
Ha ha haa haaaa haaaaaaa! Wataandamana brother!!
 
Balance of nature.

Asilimia kubwa ya wanawake watakao pinga jua hapo kuna mawili, either ana akili ila sura akawa kama le mutuz au mzuri ila akili kama ya le mutuz. Yan hatak kbsa aambiwe kuna alichokosa, vyote asifiwe yeye.
Ha ha haaaaaa haaaaaa! Nilinuna kwa muda lkn haya maneno yamenifanya nicheke kwa sauti! Akili,Akili_Akili.kabla ya sura akili kwanza/attitude.
 
Mmmmmmh !!!: hakuna hata audio/video tuone hizi pumba, akuelewe nani??

Anyway, fight with your weather.
Jamani Kama Kiingereza Mtu Hajui Uzilamishee....weather ina compatibility gani na hii sentensi...Hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…